TUNDALI
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 440
- 231
Huyu ni mnafiki sana, kashindwa kwenye hili na membe wake.
Baada ya kugundua yupo hai unajaribu kuifuta aibu yako..acha unafki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kugundua yupo hai unajaribu kuifuta aibu yako..acha unafki
Msemaji wa Serikali anapaswa aseme jambo kuhusu hili.
Mbona JK aliumwa ngiri (Waliita tezi dume), akatangaza!
Kama kuna ukweli basi tumuombee.
Tunafahamu kuwa kuna mengi ya haki na yasiyo ya haki aliyoyafanya yaliwaumiza wananchi.Wala tusiombeane mabaya..tuombe yote mawili uzima wa afya na kubadilika kwa kiongozi wetu.
Hakika Mwenyezi ndie mwenyezi kujua
hakuna. unachokifahamu mkuuPressure ipi sasa ? Nijipe pressure na ukweli naufahamu ?
Huyu kigogo ni mpumbafuu kumbe et sasa hv huko twitter anacheka cheka tu yaan anajibu ujinga mara et atakufa tu mara recorded anaonyesha alipanga kuzusha uongo kabisa ila ndo mwsho wake huu haaminiki tena
Tatizo m'metangaza nyie !
Kiukweli mimi baada ya Tundu Lissu mtu mwingine niliyekuwa namuona angalau ana ujasiri wa kuichachafya hii serikali kwa kutujuza mambo ambayo serikali inajitahidi kuyaficha tusiyajue ni Zitto.Jomba wewe ndio unagundua leo umechelewa...yeye mwenyewe Zitto alishasemaga msimwamini mwanasiasa yoyote wa upinzani..umeshasahau...
Nimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema:
Mosi: Afya ya Rais wa nchi ni maslahi ya taifa na inapaswa kutofanyiwa soga. Afya ya Rais inahusika na maslahi ya nchi yetu ndani na nje. Tusiuendee uvumi huu kwa papara. Tuwe watulivu, tuipe nafasi Serikali na mamlaka zake zitupatie taarifa kamili na kwa wakati unaofaa.
Inawezekana kuwa katika hali hii ya sintofahamu baadhi yetu tumefanya mambo yanayotafsirika kuombea mabaya kutokea. Binafsi naomba radhi kwa tafsiri hizo hata kama haikuwa nia wala madhumuni.
Pili: Tuendeleze tunu yetu ya utu, umoja na mshikamano ambazo tumeachiwa na Mwalimu Nyerere ambaye tumetoka kuadhimisha miaka 20 ya kifo chake wiki iliyopita. Tusiruhusu chuki kuteka mijadala yetu. Chuki haiwezi kuwa jawabu la chuki. Utu ndio jawabu sahihi la chuki.
Tatu: Ni busara kwa Serikali kuwaondoa hofu wananchi juu ya uvumi huu maana kutofanya hivyo kunazua taharuki inayoweza kuepukika. Ikiwa kweli Rais wetu amepata dharura ya kiafya kama uvumi unavyosema basi haitakuwa mara ya kwanza kwa hilo kutokea nchini.
Watanzania ni waelewa na wenye mapenzi na wenye utu. Tumeona walivyowaombea marais wao Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete walipopata matatizo ya kiafya wakiwa madarakani. Naamini wataungana na kusimama pamoja kama taifa kumuombea Rais wetu na nchi yetu.
Zitto Kabwe, Mb
Kiongozi wa ACT Wazalendo
Kibingo, Mamlaka ya Mji Mdogo Mwandiga, Kigoma
20/10/2019
Ndiyo Maana huwa nakwambia kwamba wapinzani Wana Safari ndefu Sana.Kiukweli mimi baada ya Tundu Lissu mtu mwingine niliyekuwa namuona angalau ana ujasiri wa kuichachafya hii serikali kwa kutujuza mambo ambayo serikali inajitahidi kuyaficha tusiyajue ni Zitto.
Lakini kwa hichi alichokifanya leo, siwezi tena kumuamini wala kumchukulia serious.
Analalamika kwamba Magufuli na serikali yake ameirudisha nchi nyuma kisiasa kwa chuki zake kwa wapinzani, wakati hata yeye ana siasa za chuki tena za kitoto sana.
Nadhani leo ni watu wengi sana tumemshusha vyeo.
Hivi serekali iwe inajibu kila uvumi wa kinafiki imekua ni taarabu sasa majibu ni hayo amewajibu jpmMsemaji wa Serikali anapaswa aseme jambo kuhusu hili.
Mbona JK aliumwa ngiri (Waliita tezi dume), akatangaza!
Kama kuna ukweli basi tumuombee.
Tunafahamu kuwa kuna mengi ya haki na yasiyo ya haki aliyoyafanya yaliwaumiza wananchi.Wala tusiombeane mabaya..tuombe yote mawili uzima wa afya na kubadilika kwa kiongozi wetu.
Hakika Mwenyezi ndie mwenyezi kujua
Nimesikitishwa sanaa sana hiki kitendo kufanywa na mtu kama Zitto.Zitto nakukumbusha tuuView attachment 1239290
Ovyoo sana wewe mtu.Nimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema:
Mosi: Afya ya Rais wa nchi ni maslahi ya taifa na inapaswa kutofanyiwa soga. Afya ya Rais inahusika na maslahi ya nchi yetu ndani na nje. Tusiuendee uvumi huu kwa papara. Tuwe watulivu, tuipe nafasi Serikali na mamlaka zake zitupatie taarifa kamili na kwa wakati unaofaa.
Inawezekana kuwa katika hali hii ya sintofahamu baadhi yetu tumefanya mambo yanayotafsirika kuombea mabaya kutokea. Binafsi naomba radhi kwa tafsiri hizo hata kama haikuwa nia wala madhumuni.
Pili: Tuendeleze tunu yetu ya utu, umoja na mshikamano ambazo tumeachiwa na Mwalimu Nyerere ambaye tumetoka kuadhimisha miaka 20 ya kifo chake wiki iliyopita. Tusiruhusu chuki kuteka mijadala yetu. Chuki haiwezi kuwa jawabu la chuki. Utu ndio jawabu sahihi la chuki.
Tatu: Ni busara kwa Serikali kuwaondoa hofu wananchi juu ya uvumi huu maana kutofanya hivyo kunazua taharuki inayoweza kuepukika. Ikiwa kweli Rais wetu amepata dharura ya kiafya kama uvumi unavyosema basi haitakuwa mara ya kwanza kwa hilo kutokea nchini.
Watanzania ni waelewa na wenye mapenzi na wenye utu. Tumeona walivyowaombea marais wao Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete walipopata matatizo ya kiafya wakiwa madarakani. Naamini wataungana na kusimama pamoja kama taifa kumuombea Rais wetu na nchi yetu.
Zitto Kabwe, Mb
Kiongozi wa ACT Wazalendo
Kibingo, Mamlaka ya Mji Mdogo Mwandiga, Kigoma
20/10/2019
Ila kuna watu wanafiki sana na zito ni mmoja wao... hivi JPM akipatwa na mabaya wewe utafaidikaje?
Umefuatilia mjadala au ulianzisha? Sio wewe Zitto ulipost picha ya mama Samia akikagua gwaride la heshima ukaweza maneno ya kuonesha anakarabia kukalia kiti cha urais? Inakuwaje Kiongozi mzima wa Chama cha siasa anakujiingiza kwenye cheap politics kiwango hiki?
Hivi hili mnaliona kubwa sana eeh! Kaeni chini mjiulize tukio hili la uvumi wa kifo na jaribio la kuua pale Dodoma lipi hasa limemchukiza Mungu katika matendo haya ya kibinadamu?Ndugu zitto unajulikana wewe ndiye kigogo 2014 , nakuhurumia sana future yako na kizazi chako Kwa ulichokifanya toka juzi
Pole sana
Ilitangazwa baada ya operesheni kufanikiwa kabla haikusemwa na JK alieleza kwanini haikutangazwaMbona JK aliumwa ngiri (Waliita tezi dume), akatangaz