Jemedal_bin_chichi
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 542
- 585
Leta screenshots za yeye kuenezaZitto ni mnafiki yeye naye ndio alikuwa ana eneza uvumi huo na uzushi hahahaha koma acha unafiki bora uendelee kuwa mchawi kuliko kuwa mnafiki!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta screenshots za yeye kuenezaZitto ni mnafiki yeye naye ndio alikuwa ana eneza uvumi huo na uzushi hahahaha koma acha unafiki bora uendelee kuwa mchawi kuliko kuwa mnafiki!
Ila kuna watu wanafiki sana na zito ni mmoja wao... hivi JPM akipatwa na mabaya wewe utafaidikaje?
Kaka ZITTO umefuatilia au Umeshiriki? Moja ya post yako ilikuwa na ujumbe sawa sawa na ule wa KIGOGO. Nilichogundua ulilishwa Tango Pori ukaamini, na gesture yako ulikuwa unafurahia Sana. Ila baada ya kujua ilikuwa tango pori, ukarudi kwa aibu kuandika tofauti kufuta aibu. Ni bora tukafanya siasa lakini tukatanguliza UTU, UNDUGU na Utanzania wetu.Nimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema:
Mosi: Afya ya Rais wa nchi ni maslahi ya taifa na inapaswa kutofanyiwa soga. Afya ya Rais inahusika na maslahi ya nchi yetu ndani na nje. Tusiuendee uvumi huu kwa papara. Tuwe watulivu, tuipe nafasi Serikali na mamlaka zake zitupatie taarifa kamili na kwa wakati unaofaa.
Inawezekana kuwa katika hali hii ya sintofahamu baadhi yetu tumefanya mambo yanayotafsirika kuombea mabaya kutokea. Binafsi naomba radhi kwa tafsiri hizo hata kama haikuwa nia wala madhumuni.
Pili: Tuendeleze tunu yetu ya utu, umoja na mshikamano ambazo tumeachiwa na Mwalimu Nyerere ambaye tumetoka kuadhimisha miaka 20 ya kifo chake wiki iliyopita. Tusiruhusu chuki kuteka mijadala yetu. Chuki haiwezi kuwa jawabu la chuki. Utu ndio jawabu sahihi la chuki.
Tatu: Ni busara kwa Serikali kuwaondoa hofu wananchi juu ya uvumi huu maana kutofanya hivyo kunazua taharuki inayoweza kuepukika. Ikiwa kweli Rais wetu amepata dharura ya kiafya kama uvumi unavyosema basi haitakuwa mara ya kwanza kwa hilo kutokea nchini.
Watanzania ni waelewa na wenye mapenzi na wenye utu. Tumeona walivyowaombea marais wao Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete walipopata matatizo ya kiafya wakiwa madarakani. Naamini wataungana na kusimama pamoja kama taifa kumuombea Rais wetu na nchi yetu.
Zitto Kabwe, Mb
Kiongozi wa ACT Wazalendo
Kibingo, Mamlaka ya Mji Mdogo Mwandiga, Kigoma
20/10/2019
ulicho kiposti kile ndo umegundua sasa kuwa umebugi na kujishusha hadhi...kwa kiongozi kama wewe, bora useme wali hack acc yako.
jomba na sio wewe tu umemshusha cheo hata watu wa jimboni kwake wanasubiri kumshusha cheo kwenye boksi la kura..hapo mwakani..subiri uone yatakayompata. namsikitikia sana dogo..Kiukweli mimi baada ya Tundu Lissu mtu mwingine niliyekuwa namuona angalau ana ujasiri wa kuichachafya hii serikali kwa kutujuza mambo ambayo serikali inajitahidi kuyaficha tusiyajue ni Zitto.
Lakini kwa hichi alichokifanya leo, siwezi tena kumuamini wala kumchukulia serious.
Analalamika kwamba Magufuli na serikali yake ameirudisha nchi nyuma kisiasa kwa chuki zake kwa wapinzani, wakati hata yeye ana siasa za chuki tena za kitoto sana.
Nadhani leo ni watu wengi sana tumemshusha vyeo.
Lipi?; kwasasa mifumo ya taarifa za siri imeimarika hakuna kuvuja. Mtakula matango poriLabda wanatafakari namna ya kusema jambo nzito kama hili
AAHAHAHAHAH! JF RAHA SANA.Nyumbu hawanaga maneno
mungu pia amutie nguvu lissu licha kuvuliwa ubunge wake mungu alilinda uhai wake kwa waliokuwa na nia mbaya ama mamlaka za kutoa uhaiHakuna mwenye mamlaka juu ya afya na uhai wake. Mwenyezi Mungu pekee ndiye anayetupa vyote hivyo. Hivyo hatupaswi kujivunia juu ya afya zetu au uhai wetu, wala hatupaswi kufurahia wenzetu afya zao zinapopata matatizo hata kama tutakuwa na tofauti kimitazamo/kifikra!
Nimesikitika kwa baadhi ya watu wanaoshabikia kuhusu tetesi juu ya afya ya rais wetu!
Achilia mbali upendo tunaohubiriwa kwenye dini zetu, kuna ile hali ya ubinadamu ambayo ni natural hiyo nayo wanaikosa?
Wengine wanadhani kupata matatizo ya kiafya ni adhabu kwa sababu wanazozijua wao. Je wewe au kwenye familia yako au ukoo wenu hakuna mwenye tatizo la kiafya? Kama wapo unadhani ni kwa sababu wamefanya machukizo kama unavyofikiria kwa mwenzio kwa hiyo wanaadhibiwa? Kuna wengine kiafya hatuko wazima na wengine tumepoteza wapendwa wetu. Je na sisi tunaadhibiwa au wapendwa wetu waliotutangulia ni kwa sababu walikuwa wakosaji sana?
Nimesikitika sana kwa response ya baadhi yetu baada kuwepo kwa taarifa za uvumi juu ya tetesi za afya ya rais wetu!
Kibusara kabisa hata kama mtu mna tofauti naye kwenye suala kama hili ni vema ukawa kimya kama utashindwa kutoa pole au kufanya dua yako kwa kumoumbea nafuu! Hakuna anayeijua kesho yake hasa kiafya na uzima, Mungu pekee ajua! Wala afya zetu zisitufanye tukajivuna sana dhidi ya wale wanaopitia changamoto za kiafya!
Mungu ni wetu sote! Tuishini kwa upendo na wala ubaya haushindwi kwa ubaya bali kwa wema!
Mungu amtie nguvu rais wetu na ampe wepesi kwa matatizo yanayomkabili juu ya afya yake na uongozi wa nchi yetu!
Mungu ibariki Tanzania
We jamaa MNAFIKI SANA..Nimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema:
Mosi: Afya ya Rais wa nchi ni maslahi ya taifa na inapaswa kutofanyiwa soga. Afya ya Rais inahusika na maslahi ya nchi yetu ndani na nje. Tusiuendee uvumi huu kwa papara. Tuwe watulivu, tuipe nafasi Serikali na mamlaka zake zitupatie taarifa kamili na kwa wakati unaofaa.
Inawezekana kuwa katika hali hii ya sintofahamu baadhi yetu tumefanya mambo yanayotafsirika kuombea mabaya kutokea. Binafsi naomba radhi kwa tafsiri hizo hata kama haikuwa nia wala madhumuni.
Pili: Tuendeleze tunu yetu ya utu, umoja na mshikamano ambazo tumeachiwa na Mwalimu Nyerere ambaye tumetoka kuadhimisha miaka 20 ya kifo chake wiki iliyopita. Tusiruhusu chuki kuteka mijadala yetu. Chuki haiwezi kuwa jawabu la chuki. Utu ndio jawabu sahihi la chuki.
Tatu: Ni busara kwa Serikali kuwaondoa hofu wananchi juu ya uvumi huu maana kutofanya hivyo kunazua taharuki inayoweza kuepukika. Ikiwa kweli Rais wetu amepata dharura ya kiafya kama uvumi unavyosema basi haitakuwa mara ya kwanza kwa hilo kutokea nchini.
Watanzania ni waelewa na wenye mapenzi na wenye utu. Tumeona walivyowaombea marais wao Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete walipopata matatizo ya kiafya wakiwa madarakani. Naamini wataungana na kusimama pamoja kama taifa kumuombea Rais wetu na nchi yetu.
Zitto Kabwe, Mb
Kiongozi wa ACT Wazalendo
Kibingo, Mamlaka ya Mji Mdogo Mwandiga, Kigoma
20/10/2019
Walivyopiga marufuku hata kumuombea!Nikikumbuka jinsi Tundu Lissu;
●Alivyopigwa risasi Bungeni
●Alivyonyimwa matibabu na Govt
●Alivyonyimwa mshahara
●Alivyoporwa ubunge
Kwa kweli sasa nimeamini malipo ya ubaya ni hapa hapa duniani.
Ukimtendea ubaya mwenzio nawe utalipwa kwa ubaya.
Mkuu heshma mbele!Kaka ZITTO umefuatilia au Umeshiriki? Moja ya post yako ilikuwa na ujumbe sawa sawa na ule wa KIGOGO. Nilichogundua ulilishwa Tango Pori ukaamini, na gesture yako ulikuwa unafurahia Sana. Ila baada ya kujua ilikuwa tango pori, ukarudi kwa aibu kuandika tofauti kufuta aibu. Ni bora tukafanya siasa lakini tukatanguliza UTU, UNDUGU na Utanzania wetu.
Mwigulu
Amina!mungu pia amutie nguvu lissu licha kuvuliwa ubunge wake mungu alilinda uhai wake kwa waliokuwa na nia mbaya ama mamlaka za kutoa uhai
Zitto umeshindwa sana, aibu yakoNimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema:
Mosi: Afya ya Rais wa nchi ni maslahi ya taifa na inapaswa kutofanyiwa soga. Afya ya Rais inahusika na maslahi ya nchi yetu ndani na nje. Tusiuendee uvumi huu kwa papara. Tuwe watulivu, tuipe nafasi Serikali na mamlaka zake zitupatie taarifa kamili na kwa wakati unaofaa.
Inawezekana kuwa katika hali hii ya sintofahamu baadhi yetu tumefanya mambo yanayotafsirika kuombea mabaya kutokea. Binafsi naomba radhi kwa tafsiri hizo hata kama haikuwa nia wala madhumuni.
Pili: Tuendeleze tunu yetu ya utu, umoja na mshikamano ambazo tumeachiwa na Mwalimu Nyerere ambaye tumetoka kuadhimisha miaka 20 ya kifo chake wiki iliyopita. Tusiruhusu chuki kuteka mijadala yetu. Chuki haiwezi kuwa jawabu la chuki. Utu ndio jawabu sahihi la chuki.
Tatu: Ni busara kwa Serikali kuwaondoa hofu wananchi juu ya uvumi huu maana kutofanya hivyo kunazua taharuki inayoweza kuepukika. Ikiwa kweli Rais wetu amepata dharura ya kiafya kama uvumi unavyosema basi haitakuwa mara ya kwanza kwa hilo kutokea nchini.
Watanzania ni waelewa na wenye mapenzi na wenye utu. Tumeona walivyowaombea marais wao Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete walipopata matatizo ya kiafya wakiwa madarakani. Naamini wataungana na kusimama pamoja kama taifa kumuombea Rais wetu na nchi yetu.
Zitto Kabwe, Mb
Kiongozi wa ACT Wazalendo
Kibingo, Mamlaka ya Mji Mdogo Mwandiga, Kigoma
20/10/2019
Hakika na kweli, wote waliodhulika kwa maagizo yake nao ni binadamuNikikumbuka jinsi Tundu Lissu;
●Alivyopigwa risasi Bungeni
●Alivyonyimwa matibabu na Govt
●Alivyonyimwa mshahara
●Alivyoporwa ubunge
Kwa kweli sasa nimeamini malipo ya ubaya ni hapa hapa duniani.
Ukimtendea ubaya mwenzio nawe utalipwa kwa ubaya.
Anasikitisha sana huyu mwanasiasa mwezio, sasa sijui hapa mnawafundisha nini wanainchi kama sio kufuata kile mnachokifanya nyie.Kaka ZITTO umefuatilia au Umeshiriki? Moja ya post yako ilikuwa na ujumbe sawa sawa na ule wa KIGOGO. Nilichogundua ulilishwa Tango Pori ukaamini, na gesture yako ulikuwa unafurahia Sana. Ila baada ya kujua ilikuwa tango pori, ukarudi kwa aibu kuandika tofauti kufuta aibu. Ni bora tukafanya siasa lakini tukatanguliza UTU, UNDUGU na Utanzania wetu.
Mwigulu
Wanatufundisha tuendelee kuchagua CCM milele Maana wao Ni wa hovyo kuliko hata hao CCM.Anasikitisha sana huyu mwanasiasa mwezio, sasa sijui hapa mnawafundisha nini wanainchi kama sio kufuata kile mnachokifanya nyie.
Saint anne
Upinzani ndo kidude gani? Futilia mbali hukoKwa hiyo unasemaje? Achana na Zitto wewe mwombee huyo kiongozi apone ili aendelee kuonea wapinzani