unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,865
Uko sawa, je anaumwa au haumwi?
Kazi ya kujua binadamu anaumwa Ni za vyombo vya uchunguzi wa afya ya mtu na madaktari. Tena kuna wakati pia hushindwa. So mantiki ya swali lako Ni ujinga. Hata wewe ukijiuliza Hapo huwezi jipa jibu Sahihi.
Pili huwa hamsimami katika makosa yenu. Nobody is perfect [emoji108] lakini ubinadamu ni kukubali tatizo kwamba tumechemka. Sio ohh tulisema karushwa Ujerumani, lakini Hilo tuweke pembeni ndio yupo Tz ila anaumwa au Haumwi? That’s childish. Ombeni radhi yaishe. Acheni kuwa kama marobot.