Zitto: Nimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema...

Status
Not open for further replies.
Uko sawa, je anaumwa au haumwi?

Kazi ya kujua binadamu anaumwa Ni za vyombo vya uchunguzi wa afya ya mtu na madaktari. Tena kuna wakati pia hushindwa. So mantiki ya swali lako Ni ujinga. Hata wewe ukijiuliza Hapo huwezi jipa jibu Sahihi.

Pili huwa hamsimami katika makosa yenu. Nobody is perfect [emoji108] lakini ubinadamu ni kukubali tatizo kwamba tumechemka. Sio ohh tulisema karushwa Ujerumani, lakini Hilo tuweke pembeni ndio yupo Tz ila anaumwa au Haumwi? That’s childish. Ombeni radhi yaishe. Acheni kuwa kama marobot.
 
Ulianza kuwa msaidizi wa mganga wa kienyeji

Ukaja kuwa Mganga wa kienyeji

Ukafata kuwa Senior mchawi

na Hatimae sasa Zitto umekua MWANGA unaewanga

Kweupeeeeeeeeee na kwa taarifa yako bwana mkubwa

Unalotamani liwe halitokuwa na hata kama likiwa si kwa sasa

na hata kama likiwa sasa basi tambua Ni MUNGU kapanga na si

hayo matunguli yako.
 
Mwigulu kwanza karibu jukwaani kwani una muda huku hufiki mbali ya tuhuma mbalimbali unazotupiwa tena nyingi ni za msingi. Anyway hiyo sio mada leo, naona umerukia hii post ya Zitto ili uchukue point za mezani kwa rais na hatimaye akukumbuke. Haya unayodai yanataka utu bila siasa, yalimkuta Lissu lakini ulijiweka mbali na hukuchangia lolote humu jukwaani, simply ni kwakuwa Lissu sio rais na hawezi kukupa cheo. Ww binafsi huna taswira nzuri kwenye siasa za utu, ndio maana uliweza kuzunguka na kijana aliyejeruhiwa ukimtumia kama mtaji wa kisiasa.

Ni vyema ungekaa kimya tu kwani huna cha kupoteza, lakini huna rekodi ya utu kwenye nchi hii, na ww kwako cha kwanza ni maslahi binafsi na siasa za ccm. Umenyooshewa kidole mara nyingi kwenye mambo ya ukatili, na yote hayo ni uhusika wako wa siasa zisizo za utu.
Unaweza kuonesha popote ambapo kiongozi wa ccm Alishangilia tukio la Lisu?
 
jomba na sio wewe tu umemshusha cheo hata watu wa jimboni kwake wanasubiri kumshusha cheo kwenye boksi la kura..hapo mwakani..subiri uone yatakayompata. namsikitikia sana dogo..

Hakuna box la kura nchi hii, bali kuna tendo la kuwasimika wanaccm kupitia hadaa ya box la kura.
 
Inatakiwa taadhali kubwa kuchangia kwenye post za Zitto hofu yangu uyu kijana atakuwa ni mmoja wa vijana wa Usalama wa ccm (Taifa)
 
Hivi hawa watu hiyo Ruzuku wanayopata kutoka Serikalini, kama kweli ni wazalendo, hawawezi kujenga hata ki-Darasa kimoja tu cha Shule ya Msingi au hata kununua madawati 10 tu ya watoto wa shule za msingi? Mbali na Ruzuku, haya wanaweza kuyafanya hata kwa kuchangishana elfu tano tano tu! Lakini tunachoona ni maneno tu bila vitendo kisa wao hawako madarakani. Kuna vitu vingine vidogo tu lakni vya maana na vya thamani sana kwa wanachi ambavyo walitakiwa kuwa wanavifanya, pamoja na kuwa wao bado hawajaingia madarakani. Tatizo wao kufanya kitu inabdi mpaka wawe madarakani. Sasa wa-tanzania watawawezaje kuwaweka wao madarakani wakati hakuna wanachofanya zaidi ya kupiga domo na kuikwamisha serikali?
Na huwa wanasubiri serikali ifanye kitu halafu wakosoe.
Wao hawajawahi kufanya chochote licha ya kuwa na uwezo wa kufanya hivyo.
Mimi naona nao Ni wachumia tumbo tu.
 
Unaweza kuonesha popote ambapo kiongozi wa ccm Alishangilia tukio la Lisu?

Kushangilia lazima upige vigelegele? Matendo tu yanatosha kujua furaha iliyopo. Si bora hata huyo Zitto aliyeomba msamaha? Huku ndani kumejaa fake ID, unamjua nani ni kiongozi na yupi sio kiongozi? Hizo lugha za kufurahia shambulio la Lissu si ziko kibao humu jukwaani, kuna popote limekemewa? Mnataka utu kwa jicho la kubagua kwa wenye madaraka kisa watawatoa kimaisha!
 
Kwa vile imeshajulikana zito ndio planer nitakata kichwa chake na kukitembeza mitaani....nipo tayari kumuua zito kwa panga..
Huyu ingekuwa kule Rwanda keshakatwa kichwa tayari
 
Kazi ya kujua binadamu anaumwa Ni za vyombo vya uchunguzi wa afya ya mtu na madaktari. Tena kuna wakati pia hushindwa. So mantiki ya swali lako Ni ujinga. Hata wewe ukijiuliza Hapo huwezi jipa jibu Sahihi.

Pili huwa hamsimami katika makosa yenu. Nobody is perfect [emoji108] lakini ubinadamu ni kukubali tatizo kwamba tumechemka. Sio ohh tulisema karushwa Ujerumani, lakini Hilo tuweke pembeni ndio yupo Tz ila anaumwa au Haumwi? That’s childish. Ombeni radhi yaishe. Acheni kuwa kama marobot.

Kuuliza si ujinga, ningedhibitisha kwa kusema anaumwa hapo sawa ungeniuliza nimejuaje wakati mimi sio Doctor wake. Inaonekana unazivaa mada kichwa kichwa ndio maana una generise kila mtu humu ndani. Sina popote nilipoamini yuko Ujerumani wala kuumwa, maana huyo Kigogo nilishampa kubwa yake huko uwanja wake wa kujidai twitan, ndio maana nikauliza huyo praise team mwenzako.

Hata hivyo hali hiyo kwangu ilikuwa ni fursa ya kumuonyesha rais kuwa utawala wake ni wa uonevu dhidi ya wapinzani. Pia nimesema bila kuuma maneno kuwa yeye ndio kinara wa kunajisi box la kura. Kwetu sisi waswahili ukiwafanyia watu vibaya, siku ikifika au kufanya sherehe ndio siku ya watu kukuonyesha kuwa hawaridhishwi na mwenendo wako. Watakachofanya wengi watasusia hiyo gafla na hata wakifika wanaweza wasile chakula. Hivyo kwenye huu uvumi kwetu ilikuwa fursa ya kuonyesha kutokuridhishwa na uonevu wake dhidi ya wapinzani. Kama ana la kujifunza basi ajifunze.
 
Ila kuna watu wanafiki sana na zito ni mmoja wao... hivi JPM akipatwa na mabaya wewe utafaidikaje?

Ni kweli afya ya mtu iko mikononi mwa Mungu aliye tuumba.
Kuugua si tatizo, ila tatizo litatokea pale ambambo chanzo cha ugonjwa kinatatiza.
Sijui sana ila mimi nafikiri kama kiongozi anaumwa, watu wake wangejulishwa ili kila mmoja kwa imani yake amwombee uzima.
Sasa wahusika kama hawatoi taarifa, sijui wanafaidikaje kwa kutotoa hizo taarifa.. Wseme tu ili haya majungu yasiwepo
 
Maneno mazuri na nina amini yametoka moyoni...

Na ata kama ni ya kiunafiki, sio mbaya kusoma kitu positive kutoka kwa kiongozi wa chama cha upinzani! 👍

Nilifikiri account yako imekuwa "hacked"!

Nimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema:

Mosi: Afya ya Rais wa nchi ni maslahi ya taifa na inapaswa kutofanyiwa soga. Afya ya Rais inahusika na maslahi ya nchi yetu ndani na nje. Tusiuendee uvumi huu kwa papara. Tuwe watulivu, tuipe nafasi Serikali na mamlaka zake zitupatie taarifa kamili na kwa wakati unaofaa.

Inawezekana kuwa katika hali hii ya sintofahamu baadhi yetu tumefanya mambo yanayotafsirika kuombea mabaya kutokea. Binafsi naomba radhi kwa tafsiri hizo hata kama haikuwa nia wala madhumuni.

Pili: Tuendeleze tunu yetu ya utu, umoja na mshikamano ambazo tumeachiwa na Mwalimu Nyerere ambaye tumetoka kuadhimisha miaka 20 ya kifo chake wiki iliyopita. Tusiruhusu chuki kuteka mijadala yetu. Chuki haiwezi kuwa jawabu la chuki. Utu ndio jawabu sahihi la chuki.

Tatu: Ni busara kwa Serikali kuwaondoa hofu wananchi juu ya uvumi huu maana kutofanya hivyo kunazua taharuki inayoweza kuepukika. Ikiwa kweli Rais wetu amepata dharura ya kiafya kama uvumi unavyosema basi haitakuwa mara ya kwanza kwa hilo kutokea nchini.

Watanzania ni waelewa na wenye mapenzi na wenye utu. Tumeona walivyowaombea marais wao Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete walipopata matatizo ya kiafya wakiwa madarakani. Naamini wataungana na kusimama pamoja kama taifa kumuombea Rais wetu na nchi yetu.

Zitto Kabwe, Mb
Kiongozi wa ACT Wazalendo
Kibingo, Mamlaka ya Mji Mdogo Mwandiga, Kigoma
20/10/2019
 
Acha unafiki wewe, aibu inakusuta
 
We mwenyewe ulishawaeleza wapiga kura wako juu ya afya yako? Uvumi wa afya yako ni wa miaka mingi tangu zile enzi za yule mbunge marehemu. Sema afya yako!

UUngwana ni kuwa mkweli badala ya kuigiza busara usiyokuwa nayo!
 
We Zitto huna nidhamu na ni mpuuzi wa karne. Uliandika kwa mkono wako ukatweet upuuzi kisha ukagundua umechemka unataka kutudanganya nini? Binafsi nimekumind sana sana na ninakuahidi nitatafuta njia nzuri ya kuelimisha umma kuhusu wizi wako wa mali za Umma. Fisadi mkubwa. You are not a Human Being and you dont love this Country! Nimeumia sana kwa kweli. Huwezi ukamuombea Rais wa Nchi Kifo. Akili huna. Zamani nilidhani Vyeti ni akili kumbe big no. Huwezi kuwa hata mkuu wa Mkoa wewe. Na hiyo akaunti yako ya Kigogo2014 tumeshaishtukia. Endelea Mungu atakufundisha.
 
Ila kuna watu wanafiki sana na zito ni mmoja wao... hivi JPM akipatwa na mabaya wewe utafaidikaje?
Naona kama wewe ndio mnafiki au mburura, katika mada yake umeona unafiki gani. Alichoongea ni utu mtupu na huo ndio ukomavu wa kisiasa sio wakati wote kuponda tu
 
We Zitto huna nidhamu na ni mpuuzi wa karne. Uliandika kwa mkono wako ukatweet upuuzi kisha ukagundua umechemka unataka kutudanganya nini? Binafsi nimekumind sana sana na ninakuahidi nitatafuta njia nzuri ya kuelimisha umma kuhusu wizi wako wa mali za Umma. Fisadi mkubwa. You are not a Human Being and you dont love this Country! Nimeumia sana kwa kweli. Huwezi ukamuombea Rais wa Nchi Kifo. Akili huna. Zamani nilidhani Vyeti ni akili kumbe big no. Huwezi kuwa hata mkuu wa Mkoa wewe. Na hiyo akaunti yako ya Kigogo2014 tumeshaishtukia. Endelea Mungu atakufundisha.
Wewe mungu amekufundisha mara ngapi. Ukimwona mwenzako siyo binaadamu, Fahamu kuwa wewe sio binadamu zaidi yake au mara mbili yake. Nyani haoni kundule
 
Anapokumbusha wajibu huo kwa wengine, yeye hastahili hata kuulizwa. Atoe taarifa tu ili apate uhalali wa kuwauliza wengine.

Ww utakuwa mwendawazimu, afike aanze kuwaambia wananchi kuhusu afya bila wao kumuuliza!? Utakuwa ni mkutano au ni siku ya chanjo na vipimo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom