Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii ni THREAD iliyokamilika kabisa haipaswi kuwa sehemu ya comment peke yake. Naomba kama itakupendeza iweke kama Thread inayojitegemea ili tuweze kuweka michango yetu huko. Thanks In advance.Hivi upumbavu huu utavumiliwa hadi lini? How long shall they kill our brothers and sisters while we standa aside and look? Itoshe Sasa, km hakuna la kufanya kuizuia CCM na state machinery zake kuteka, kupoteza Na kuua watu, wapinzani waache siasa. Mnasababisha Maisha ya watu kukatishwa kikatili, wengine wakiwa bado vijana wadogo wenye ndoto kubwa maishani. Kubalini kujiunga CCM in mass kama mnapenda siasa, ili kuponya uhai wenu na familia zenu. Angalia Peter Msigwa, ss hv ana guarantee ya kutokuguswa na Polisi au TISS, hata akisema Jambo baya jukwaani. Hawezi Tena kutekwa Wala kupotezwa. Ana bima ya usalama wake na familia yake.
Mbowe, Zitto na wengine, waoneeni huruma hawa vijana, bado wadogo sana kufukiwa ardhini mapema hivi. Kina Soka huenda walishaoza muda mrefu. Hatujui waliuwawaje. CCM hawana huruma. Kwao ni maslahi tu. Achaneni na siasa, km hakuna njia ya kuizuia CCM kuendesha udhalimu huu. Mtazima ndoto za vijana wengi wanaowaamini na kuwafuata huku mkijua CCM watachukua roho zao muda wowote walitaka.
Yesu alisema mchungaji mwema wa kondoo huwaacha Kondoo 99 na kurudi nyikani kumtafuta huyo Kondoo 1 aliyepoteaKwa nini ni tofauti na FAM?
Njia ipo. Watu walimuondoa Hitler na Nazi yake ITAKUWA hapa.??Hivi upumbavu huu utavumiliwa hadi lini? How long shall they kill our brothers and sisters while we standa aside and look? Itoshe Sasa, km hakuna la kufanya kuizuia CCM na state machinery zake kuteka, kupoteza Na kuua watu, wapinzani waache siasa. Mnasababisha Maisha ya watu kukatishwa kikatili, wengine wakiwa bado vijana wadogo wenye ndoto kubwa maishani. Kubalini kujiunga CCM in mass kama mnapenda siasa, ili kuponya uhai wenu na familia zenu. Angalia Peter Msigwa, ss hv ana guarantee ya kutokuguswa na Polisi au TISS, hata akisema Jambo baya jukwaani. Hawezi Tena kutekwa Wala kupotezwa. Ana bima ya usalama wake na familia yake.
Mbowe, Zitto na wengine, waoneeni huruma hawa vijana, bado wadogo sana kufukiwa ardhini mapema hivi. Kina Soka huenda walishaoza muda mrefu. Hatujui waliuwawaje. CCM hawana huruma. Kwao ni maslahi tu. Achaneni na siasa, km hakuna njia ya kuizuia CCM kuendesha udhalimu huu. Mtazima ndoto za vijana wengi wanaowaamini na kuwafuata huku mkijua CCM watachukua roho zao muda wowote walitaka.
AminaMadaraka yamempanda kichwani ule utu aliokua nao mwanzo umeshapotea. Najiulizaga, ina faida gani uuwe watu wakati na wwe utakufa tu siku moja. We iba kura tu kila uchaguzi maisha yaendelee ila kuuana na kutekana is too much.
Nakumbuka 2020 CCM ilishinda almost kata zote na majimbo yote ila cha ajabu pale singida mjini kuna wamama waliokua mawakala wa Lissu wakapewa kesi ya uhujumu uchumi na haikua na dhamana. Nikawaza sasa kama umeshashinda unaenda kutesa watu wa nini? Kama huyu Mama kahusika basi mwisho wake utakua mbaya na wa aibu.
Nashukuru kwa kunijibu Mkuu!Yesu alisema mchungaji mwema wa kondoo huwaacha Kondoo 99 na kurudi nyikani kumtafuta huyo Kondoo 1 aliyepotea
Huko Chadema wamepotea wangapi na mmebaki kulalama tu X?
Angalia hekaheka za Ayatollah kuanzia Nondo atekwe asubuhi 😂
Kiti kimemghuri!Ila haya yote anayeyataka ni Samia mwenyewe.
TUKIO LA kibao lingetosha kuwa fundisho..lakini wapi.
Mungu wa mbinguni akubarikiNashukuru kwa kunijibu Mkuu!
Kwa bahati mbaya ama nzuri sina chama!
Nabaki kuwa mpenda haki na ukweli, ndiyo njia niliyoisimamia!
UOGA TU.anawaogopa viongozi wake alishasema yeye hautaki haya mambo hajawahi kuua . lakini kuwakataza anaogopaKiti kimemghuri!