Pre GE2025 Zitto: Tumepata Taarifa Nondo yuko Kituo cha polisi Gogoni, Tumefika tumekuta gari inabadilishwa Plate namba

Pre GE2025 Zitto: Tumepata Taarifa Nondo yuko Kituo cha polisi Gogoni, Tumefika tumekuta gari inabadilishwa Plate namba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tumejulishwa kuwa Mwenyekiti wa Vijana Taifa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo amefichwa kituo cha polisi Gogoni, Kibamba Dar es Salaam.

Tumefika Kituoni, ingawa Polisi wamekataa, tumekuta Landcruiser iliyotumika kumteka Nondo ikiwa inabadilishwa number plates. (kutoka zile za IST zilizotangazwa na Msemaji wa polisi na kuwekwa zingine).

Picha chini ndio gari iliyomteka Nondo ikiwa Kituo cha Polisi Gogoni, Kibamba.
View attachment 3166701

Polisi ni dhahiri mpo na Nondo, tafadhali mwacheni huru akiwa mzima wa afya BILA HATA MCHUBUKO! Tafadhali Tafadhali Tafadhali!
Kwa hili Polisi wetu mnatia aibu kama mnamkamata mtu mkiwa na nia njema kwa nini mnafichaficha mambo?
 
Tanzania yetu....
Hivi mama,umeridhika na haya yote kweli?
Kama ni maagizo yako I swear mwisho wako waweza kuwa wa aibu.... naamini siyo wewe maana haiwezekani mwanamke mwenye utungu akawa katili kwa watoto wa wenzie namna hii...hapana haiwezekani ikawa ni maagizo yako mama.Daah
Usihangaike naye huyo, kama Bwana wangu aishivyo, anachotafuta atakipata.
 
Tanzania yetu....
Hivi mama,umeridhika na haya yote kweli?
Kama ni maagizo yako I swear mwisho wako waweza kuwa wa aibu.... naamini siyo wewe maana haiwezekani mwanamke mwenye utungu akawa katili kwa watoto wa wenzie namna hii...hapana haiwezekani ikawa ni maagizo yako mama.Daah
Hivi ushawai ona mateso ya mama wa kambo?
maana haiwezekani mwanamke mwenye utungu akawa katili kwa watoto wa wenzie namna hii....

Mwanake nikiumbe kingine kabisa hujawai sikia kajifungua na kutupa mtoto?

NIKAWAIDA
 
Zito anataka kuwaumbua polisi maana kama yupo humo kweli mtihani uliopo ni namna ya kumtoa bila makachero ya Zitto kunyaka tukio na camera

Zito anataka kuwaumbua polisi maana kama yupo humo kweli mtihani uliopo ni namna ya kumtoa bila makachero ya Zitto kunyaka tukio na camera.
Hapo kuna Police wamevujisha mchongo ,maana hadi picha ya gari imepigwa kituoni na maelezo kuwa imebadilishwa namba.simply kuna mapolice hawakubaliani na hayo matendo
 
Back
Top Bottom