DolphinT
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 2,014
- 2,979
Wameonjeshwa utamu wa madaraka! Tabia hii ikiendelea watawageuka na wao wanaowatumaPolice wanakuwa kama genge la wahuni. Sasa wananchi watapata wapi msaada?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameonjeshwa utamu wa madaraka! Tabia hii ikiendelea watawageuka na wao wanaowatumaPolice wanakuwa kama genge la wahuni. Sasa wananchi watapata wapi msaada?
Zitasaidia nini Wakati yeye muda wote amekalia kimya uhalifu wa "Hawa" Dhalimu!?Yesu alisema mchungaji mwema wa kondoo huwaacha Kondoo 99 na kurudi nyikani kumtafuta huyo Kondoo 1 aliyepotea
Huko Chadema wamepotea wangapi na mmebaki kulalama tu X?
Angalia hekaheka za Ayatollah kuanzia Nondo atekwe asubuhi 😂
Father Kitima: Nashangaa Wazee wa kichaga mtoto wao Soka kapotea Wao wamejikalia tuZitasaidia nini Wakati yeye muda wote amekalia kimya uhalifu wa "Hawa" Dhalimu!?
Ni kama unajaribu kusema huyu naye atauawa kama Kibao!?Huyu si dini yao kama kibao tu. Sasa inakuaje?
Fedha na Madaraka ni sumu ya utu na ubinadamu!Ni kama unajaribu kusema huyu naye atauawa kama Kibao!?
Huwezi kuachana na kitu unapenda kufanya,utafika muda polisi watapigwa humu mitaanimi nashauri vijana waachane na siasa tu maana wanageuzwa mbuzi wa kafara na wakuu wa vyama vyao,kwanza tanzania upinzani hakuna haiwezekani kinatawala chama kimoja miaka nenda rudi,hakuna cha demokrasia ni udikteta tu
CHADEMA wote,ACT wote na wale wapenda haki naombeni kituo Cha GOGONI tuanze ncho.Hicho kituo kinatakiwa kigeuke majivu haraka sana.Tumejulishwa kuwa Mwenyekiti wa Vijana Taifa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo amefichwa kituo cha polisi Gogoni, Kibamba Dar es Salaam.
Tumefika Kituoni, ingawa Polisi wamekataa, tumekuta Landcruiser iliyotumika kumteka Nondo ikiwa inabadilishwa number plates. (kutoka zile za IST zilizotangazwa na Msemaji wa polisi na kuwekwa zingine).
Soma Pia: Kuelekea 2025 - News Alert: - Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli
Picha chini ndio gari iliyomteka Nondo ikiwa Kituo cha Polisi Gogoni, Kibamba.
View attachment 3166701
Polisi ni dhahiri mpo na Nondo, tafadhali mwacheni huru akiwa mzima wa afya BILA HATA MCHUBUKO! Tafadhali Tafadhali Tafadhali!
Ushauri wako ni WA kijinga sana na cowards kama wewe hawana mchango wowote kwenye taifa hili.mi nashauri vijana waachane na siasa tu maana wanageuzwa mbuzi wa kafara na wakuu wa vyama vyao,kwanza tanzania upinzani hakuna haiwezekani kinatawala chama kimoja miaka nenda rudi,hakuna cha demokrasia ni udikteta tu
Hicho ndio bangaloo pamoja na Mbweni,Tâzara.Waliokujakumteka yule bonge wakamshindwa walitaja kituo Cha Gogoni..kunanini Gogoni??
Watu kama hawa ni wakuwapuuzaUshauri wako ni WA kijinga sana na cowards kama wewe hawana mchango wowote kwenye taifa hili.
I nailCHADEMA wote,ACT wote na wale wapenda haki naombeni kituo Cha GOGONI tuanze ncho.Hicho kituo kinatakiwa kigeuke majivu haraka sana.
Hii sio haki.....huu uhuni tuukatae.Tumejulishwa kuwa Mwenyekiti wa Vijana Taifa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo amefichwa kituo cha polisi Gogoni, Kibamba Dar es Salaam.