Pre GE2025 Zitto: Tumepata Taarifa Nondo yuko Kituo cha polisi Gogoni, Tumefika tumekuta gari inabadilishwa Plate namba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu hii ni THREAD iliyokamilika kabisa haipaswi kuwa sehemu ya comment peke yake. Naomba kama itakupendeza iweke kama Thread inayojitegemea ili tuweze kuweka michango yetu huko. Thanks In advance.
 
Njia ipo. Watu walimuondoa Hitler na Nazi yake ITAKUWA hapa.??
Kwenye vita yeyote lazima damu imwagike na damu hiyo ndio kichochezi muhimu kwenye vuguvugu la kudai haki.
Huwezi kupewa haki kwenye sinia kama pilau la shughuli, haki inadaiwa taratibu ikibidi nguvu zinatumika.
Ukisema watu wanyamaze, nchi itageuzwa kama Rwanda au North Korea Muda SI mrefu na ndio lengo lao ili wakiendelea kufanya upuuzi Wananchi wasihoji.
Cha msingi vijana tuelewa Hao wenzetu wanaopitia misukosuko wanatuhamasisha sisi tuinuke na kuunganisha nguvu.
Hatuoni Kenya majuzi ilikuwaje GEN Z???????
Tuache uoga , tuamke, tupambane. Wote kwa pamoja ushindi utakuja.
 
Amina
 
Yesu alisema mchungaji mwema wa kondoo huwaacha Kondoo 99 na kurudi nyikani kumtafuta huyo Kondoo 1 aliyepotea

Huko Chadema wamepotea wangapi na mmebaki kulalama tu X?

Angalia hekaheka za Ayatollah kuanzia Nondo atekwe asubuhi 😂
Nashukuru kwa kunijibu Mkuu!

Kwa bahati mbaya ama nzuri sina chama!

Nabaki kuwa mpenda haki na ukweli, ndiyo njia niliyoisimamia!
 
Binadamu unamteka binadamu mwenzako na kwenda kumuua kama nguruwe kisa madaraka na utukufu wa duniani tu! Unataka uitwe mheshimiwa, uwe mwenye mamlaka, uwe tajiri,ule vizuri sijui ukisafiri kwa ndege ukae daraja la kwanza,ulale kwenye nyumba yenye kiyoyozi, utembelee gari la kifahari,ukitembea uzungukwe na walinzi wenye masilaha mazito kila pembe,yaani hayo tu ndiyo yasababishe kuua wenzako kweli! Ni masikitiko makubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…