Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona

Hiyo mishahara mizima huisha ndani ya siku mbili, sasa hiyo nusu itakuwaje. Acha wapate sungura wao kama ilivyozoeleka. Wakati wa kugawana hako kasungura haujafika bado.
 
Aisee mm ninesikiliza hotuba ya rais vizuri, huenda weww hujamuelewa. Kasema tuchukue taadhari na hapo hapo tuchape kazi. Mkuu ila kama wewe utapenda kukaa nyumbani bila kufanya kazi kaa tu kumbuka ukikaa bila kufanya kazi yoyote chakula pia kitakuw cha tabu
 

Nimesisitiza kufanya kazi au hujasoma


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua maana ya sisi wananchi ww?sema wewe na sio sisi halafu alie lock down ni nani huyo mtumishi au serikali? Kwanza we mwananchi wa nchi gani kwanza?
 
Hiyo nusu nyingine watalipwa na nani? marekani wametoa dola 1000 kwa kila raia. nilitarajia serikali inge top up laki tano kwenye mshahra wa kila mtumishi wake ili kupambana na kuyumba kwa uchumi kulikosababishwa na korona pamoja na kutoa pesa kwa makampuni yaliyoyumba kimtaji
 
Ndio shida ya kuwa na nchi yenye vilaza wengi na ambao hawajawai kufaulu kipindi cha maisha yao yote hapo wivu unakusumbua tuu. Kama maisha yamekushinda Rudi shule ukasome na wewe ili uje kujidai
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali itafirisika.... !? Itakosa mapato!
Akiba ya BOT itasaidia, wahisani wapo watatukopesha...
 
Kumbe Coronavirus ni shateni, watanzania tukeshe tukiomba ile tumshinde huyu shetani. Ni jambo la ajabu karne hii ya 21 kutamkwa na mtu mwenye elimu ya Phd
Hopeless comment! Unajua shetani ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…