Serikali itafirisika.... !? Itakosa mapato!
Akiba ya BOT itasaidia, wahisani wapo watatukopesha...
Hiyo nusu nyingine watalipwa na nani? marekani wametoa dola 1000 kwa kila raia. nilitarajia serikali inge top up laki tano kwenye mshahra wa kila mtumishi wake ili kupambana na kuyumba kwa uchumi kulikosababishwa na korona pamoja na kutoa pesa kwa makampuni yaliyoyumba kimtaji
Ku kalili ndo ujinga gani huo pumb***avu... *+$ wewe rudi darasan.
Sent using Jamii Forums mobile app
Roho za kimasiki na chuki ndio hizi sasaKutokana na ugonjwa wa corona uliosababisha taasisi nyingi kuwa locked down ikuwemo shule
Sisi Wananchi tunaiomba serkali iwalipe nusu mshahara wafanyakazi ambao wanapumzika nyumbani ili kwamba hizo fedha zisaidie katika kupambana na huu ugonjwa ulioletwa na wachina
Tuungane kupambana na huu ugonjwa ulioletwa na watu wabaya kutokana na tamaa ya kula mizogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu, ngoja tukafie viwandani ili mnunue robots za kuviendesha hivyo, viwanda na bidhaa mtazirundika majumbani maana mtabaki wenyewe na serikali yenu bila watu ila mashetani waleta coronaNi bora mkafie tu kwa corona kuliko serikali ifilisike hata uchaguzi bado mkikaa majumbani mwezzi tuu mtaandaman serikali iwape pesa mwisho wake mtaingia magogoni. Hatutaki habali hizo bado tuna miaka mingine mitano magogoni kafieni tu viwandani na corona muombeni mungu shetani ashindwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilaza full
Ni serikali ipi itakayo filisika? JPM kasema kuna hazina ya USD za kutosha au hujamsikia?Serikali itafirisika.... !? Itakosa mapato!
Akiba ya BOT itasaidia, wahisani wapo watatukopesha...
Mkuu hebu jaribu kulisoma baa la "Spanish flu" la 1918 linaogofya sana sana, india pekee walikufa watu Milioni 20 na ndio nchi yenye joto kama Afrika.Tanzania tumeambiwa tufanye kazi na miradi yote iendelee na viwanda kuendelea na kazi na mikusanyiko mbalimbali kuendelea.
Uzuri wa corona haibagui vyeo!