Copy and paste hatua walizochukua USA na EU. Serikali wanayoisema haina hela itapata wapi pesa hizo?Mmh, sijui hapo kwenye pay roll cost, maana kama mshahara haujawahi kupanda kwa wavuja jasho, halafu kufikiria kuwapa watu mshahara wasioufanyiakazi, unaweza ukasikia kuwa hata biblia imekataza, asiyefanyakazi na asile ikawa stop.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohhhhhhhhhhh kuna mahali hapatakiwi kushikwa au kutajwa.Pengine taja tu upande uleeeeeeee hapo ni poa tu.Double standard
ilipotaka kuletwa hoja bungeni waliokua wanawahi michepuko yao eakkataa pasijadiliwe jambo hiloHaya ndiyo maneno, hizi ndizo hoja tunahitaji wana CCM, siyo mipasho wa wakatikia kuni akina Lema na Mbowe.
Nadhani Mmawia na genge la wahuni wenzako akina Nyonyoma mnaelewa sasa maana ya hoja, mwezenu kaleta maoni yaliyojaa hoja na serikali lazima itie jicho hapa.
Mavi ya kale hayanuki. Dondosha hoja hapa na ndiyo maana Mh. Zitto hajayaongelea hayo yeye kashusha hoja zenye nondo. Usiwe Nyonyoma!ilipotaka kuletwa hoja bungeni waliokua wanawahi michepuko yao eakkataa pasijadiliwe jambo hilo
ndio muache upopoma wa kujali matumbo badala y mslah ya taifa jambo likisha tokea ndio mnakuja na vitambi vyenu kutoa matamkoMavi ya kale hayanuki. Dondosha hoja hapa na ndiyo maana Mh. Zitto hajayaongelea hayo yeye kashusha hoja zenye nondo. Usiwe Nyonyoma!
Schiphol airport imefungwa? Check your facts klm mbona imeondoka Dar jana?Uzuri ni kuwa hapa Europe penyewe tayari wamesha chukua hizo hatua, hakuna mtu kuingia hapa ambaye si mkazi wa Europe, especial shengen countries, inamaana kuwa hakuna ndege toka hapa Ulaya zitakuja huko Afrika labda kwa safari muhimu sana. Schiphol airport Amsterdam imeshefungwa, labda Heathrow airpot England, lakini mipaka yote ya EU imeshafungwa.