Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
Nigeria ilikuwa na wagonjwa 4, wamepona 3 amebaki mmoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trump ametangaza dola 1000 kila familia Marekani leo na zile zenye watu wengi wataongezewa dola 500.Ungesema wafanyakazi wa utalii wapewe likizo ya kulipwa hata nusu mshahara ungeeleweka, Serikali iwafidie kwani ndio ilileta corona
Tuende likizo tutakula nini mkuu wacha korona ituue hapo hapo Vibandani mwetu tunakochakata Viazi kuwa ChipsiNililiwaza hili, wakina Zero IQ na biashara ya kuchakata viazi kuwa chips itabidi waende likizo bila malipo kwa siku 14.
Kabisa mkuuKimsingi huu ugonjwa unapewa attention ambayo haiendani na uhalisia wa madhara yake. Taharuki ni kubwa kuliko tatizo halisi.
Wakina mama kama wanajifanya na wao wana ndevu watapigwa tu!Na wale wanaume wengi waliowapiga wakina mama na kuwavunja mikono nao wako wapi.Corona imewaokoa au