Zitto usipoacha uzushi Karma itakucharaza kama inavyowacharaza CHADEMA

ninyi na MshauriHuru ndio wale msiojulikana mnakuja kuchafua JF umejiunga juzi tu kwa ID nyingine ili iweje mbona miaka yote Jukwaa letu ni la kukosoana hasa katika Siasa?
ya Tweeter tuliambiwa tusiyalete humu na hata Kigogo 2014 yumo humu lkn hachanganyi
mmeshajimilikisha Tanzania ni yenu hamtaki hata kushirikiana na wenzenu Keki ya Taifa, Magoti mmemuweka ndani mnamtaka na Zitto kweli wajinga wakubwa haya tumalizeni mmbaki wenyewe
Mleta Mada anatishia kabisa utafikiri yeye Moderator kajisahau km ni Member amejiunga Dec 18.2019
Zitto Maskini.
Sasa nilimsikia juzi eti anadai akamatwe yeye, nadhani anachokitaka atakipata, maana Tanzania lazima ibaki.Pole yake sana. Aendako.Atafika tu. Soon. Si kataka mwenyewe!
 
Hata Jf walipost kwa mbwembwe sana, yaani Jf imekua kama kijiwe cha wahuni, ukurasa wao wa Instagram ulipost huu utumbo, nanyi nnawaonya msipobadilika mtakwisha endeleeni, nnajua hampendi kuambiwa ukweli lkn nimewaambia na mkiona vp fanyeni mnavyofanyaga ila ujumbe mmepata na vyanzo vyenu vya Taarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Heri ya Christmas na Mwaka mpya,
Serikali duniani hazijawahi kubadilika, serikali zote hufanana utendaji, wakiwa na jambo la kukukamata watakukamata na wala si kukuteka, na wakiwa na jambo la kukuhifadhi watakuhifadhi.Tumeyaona haya tawala zote 5, Yona na Mramba walipohukumiwa kwani wao ni waovu kupita viongozi wote?
Liyumba alipohukumiwa yeye ndio alikuwa na maamuzi ya mwisho kuliko Gavana au Bodi?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zito ndio Kigogo na Kigogo ndio Zito.
Kwa utawala huu hauna maalahi kabisa na Zito.
Huyu jamaa ni mnafiki sana na tamaa nyingi. Mwakani huo Ubunge atausikia redioni.

Tofa
 
Kwa jinsi reaction inavyotoka kuhusu Zitto kwamba anazusha mambo, inatoa picha kwamba watu wanaoteka watu ni watu wa mfumo rasmi wa utawala. Ingekuwa ni watu wa nje ya mfumo makada kindakinda wasingemshukia Zitto kiasi hicho kwa issue ya Assad.
 
Karma itamcharaza kama inavyowacharaza Chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karma itamcharaza Zitto kama inavyowacharaza Chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kama Zito atapuuzwa kwa hili, mbona serikali itakuwa ilishapuuzwa muda mrefu sana? Swala la kutekwa kwa Mo mpaka leo lina maelezo ya kunyooka? Halafu umemsikia Profesa Assad akikanusha yeye binafsi?
 
Zitto kabwe anataka kuongelewa yeye tu saizi.. Chadema wanacheza mziki wake. Yeye ndo atakua head of opposition kuanzia November 2020. Lazima ujue so far hakuna opereshen, mikakati, sera au mbinu zozote amabazo upinzani wanazo. Yaani hata ukimuuliaz msomi pale chuo kikuu dsm chadema au upinzani kwa ujumla wanasimamia nini saiz nna uhakika hatokua na jibu.
Operesheni sangara, list of shame nk zilizokua chini ya dr slaa zilizaa upinzani wa kweli nchini, upinzani wa damu uliojaa uzalendo.. leo chama eti mtu wa mkakati ni mdude...!!! Analopoka tu hana cheti cha standard seven inaweza kua mashaka... Kwa mtindo huu unategemea ccm kutoka madarakani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alitekwa kweli lakini kelele kubwa ya mitandaoni ikawaogopesha watekaji wakamuachia haraka na kumuomba asiwataje ajidai kuwa hakuna Tatizo lolote ili kuondo taharuki zote.
 

Kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali kwa kila mapungufu kuanzia matukio madogo mpaka makubwa, wapinzani wamesimamia kwenye kuukataa udikiteta uchwara, wizi wa kura uchakachuaji ufisadi kwenye ununuzi wa Ndege na miradi yote mikubwa, yapo mengi kama haujui waulize wenzako hapo ulipo.
 
Nyie mnaocharazwa na karma hamtaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna aliyecharazwa bali watanzania ni wajanja kuliko nyie CCM wachache, wananchi wanajua sinema zote za CCM hawawezi kuwapuuza wapinzani hata siku moja, wanajua upinzani ndiyo nguzo ya kuibua uovu wote wa CCM Nchini, profesa Assad wanajua alitekwa kweli lakini baada ya kuona Zito kabwe kavalia njuga na wananchi wanapiga kelele nyingi mitandaoni na kona zote ndipo wakaamua kumuachia haraka kuepuka lawama toka kote Duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…