Uchaguzi 2020 Zitto: Wagombea wote 18 wa ACT-Wazalendo kisiwani Pemba wameenguliwa

Yale ya 2019 Serikali za mitaa ndio yanayoenedelea hivi sasa si kwa CUF si kwa NCCR Mageuzi si kwa CDM si kwa ACT ila kwa ACT na CDM ndio funga kazi, pia hata wagombea wa NCCR mfano kule Kigoma wametekwa pia.

Kabla haijawa too late itisheni press conference muitangazie Dunia na watu wajue uhuni wa CCM na Serikali yake, hakuna Uchaguzi na huko mbele tutafanyiwa sarakasi sana.

Please itisheni kikao cha dharura kujadilia haya belive or not hizi sarakasi zitaendelea hadi siku ya kupiga kura na CCM wanaqeza fanya uhuni wakashinda kata zote Tanzania na Majimbo yote Tanzania na Visiwani.

Mbele ya safari tutalia kilio cha mbwa koko.


Chonde chonde jamani.


 
Ccm na tume wameanza rafu mapema sana! wanahubiri amani huku wamebeba mapanga.
 
Kwa nini Zitto Anashangazwa na yanyoendelea Pemba? Kwa nini hakushangazwa na ACT kuwawekea Mapingamizi Chadema kama kweli yuko kutaka mabadiliko?

You could fool everybody and continue snitching Chadema for years kama ulivyoanza na Kelele za kuwakaunu kuwa wanakataa kuungana, what you diid not know was that wakina Maalima Seif wana Agenda unlike you.

Sasa shughulika na mapingamizi yenu acha kushngaa, wapemba hawachakachuliwi kama wa bara kama kuna jambo uliwaficha this is the time to come clean, wameshadema hawatakubali this time, are you also not ready to tolerate this time?
 
Baada ya kuona wanaangukia pua uchaguzi huu ccm waamua kuleta vita
 
Reactions: UCD
Upinzani Tanzania hakuna, vyama vyote ni mamluki. Sikutegemea vyama hivyo kuingia uchaguzi bila tume huru ya uchaguzi kwa vituko vilivofanywa na dola uchaguzi wenyeviti wa mitaa.
Huu ndiyo unaweza kuwa mwanzo wa kupata tume huru ya uchaguzi .....!!
 
Aliyejenga striglas goji, sjiir, fulahova, na bumba dear anaogopa ACT hahahaaa mbavu zangu jamani
 
Zitto ni afisa kipenyo. Hata Maalim Seif sijawahi kumuamini.
 
Mambo ni mazito kidogo.

Zitto kasema kuwa Pemba hakuna mgombea wa ACT aliyeachwa . Wote 18 wameliwa vichwa...
Wanasema wanapendwa na wananchi, miaka mitano wamefanya siasa wao wenyewe, sasa huu uoga unatoka wapi Kama mnapendwa?
Ukweli mchungu, kwa tume huru ya uchaguzi, ccm ni chali kabisa.
 
mzee hilo linajulikana na limeshaonekana. ccm hawawezi tena uchaguzi Tanzania sababu hawakubaliki tena kwa wananchi na hilo wanalijua vizuri. uhuru sasa upo wazi lakini hatuteletewa kwenye sahani ya dhahabu...ni wananchi tuamke sasa tuuchukue uhuru wetu. Kila linalowezekana nje na ndani lifanyike sasa ili haki ipatikane.

Watanzania tusipoteze nafasi hii kamwe. huu ndo wakati sahihi wa kujibu mapigo dhidi ya dhuluma na uonevu tunaofanyiwa na hiyo siyo kazi ya zito membe mbowe wala lisu peke yao. ni ya sisi watanzania wote wapenda haki na Amani.

Tuamke kwa pamoja katika umoja wetu nchi nzima. Tudai haki ya Taifa letu na mama yetu Tanzania. Njia zote za kisheria na kikanuni zimekanyagwakanywa...Watanzania tumebakiwa na option Moja tu sasa.
 
Unawazungumzia watz wapi?
 
Kama hakuna mgombea katika jimbo maana yake ni kwamba hakuna uchaguzi.

Maana ya uchaguzi nikuwepo mgombea ili watu wachague. ACT wazalendo wasikubali ushindi wa mezani kama ilivyotokea huko nyuma. #SASA BASI!!
 
CCM wana hofu kila kona hawajiamini wanaweza kosa bara na Pwani..

Upinzani ni wakati wa kwenda mbele zaidi ili kuuondoa huu udhalimu wa mkoloni mweusi.

Upinzani hawana umoja, consequently wanajaza fomu kwa papara yaani bila kuwa makini na wanajua fika sheria ni msomeno! Haya ni matokeo ya “FAKE” Opposition Political Parties, wengine wataanza kurudi kundini mapema zaidi, hawatangoja mpaka 28/10/2020!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…