Haparahatu
Member
- Jan 23, 2020
- 27
- 24
Inaonesha una akili finyu sana. Umezoea kulishwa propaganda mpaka unaandika pumba kama hizi sasa hio miaka yote walikuwa wanajaza vipi hizo form.Acha kupanic Zitto ikiwa unaona wameenguliwa bila kufuata sheria za uchaguzi kata rufaa au nenda mahakamani.
Tatizo wagombea wenu wanauza mechi na wengine ni mbumbumbu hawategui mitego ya kisheria katika ujazaji fomu sasa wakikosea kujaza unataka wapokelewe na kupitishwa tu unavyotaka? Uchaguzi huanzia kujaza fomu.
Hawa Ccm ndogo nao wana shida sanaMambo ni mazito kidogo....
Magufuli ana mpango wa kubadili katiba ili awe dikteta kamili. Nendeni mkamwambie kabla hajabadili katiba atakuwa ameshabadilishwa
hata ndan ya ccm kwenyewe usidhani wote wanapenda dhulma na ukandamizaji. ccm wachache endeleen na uovu lakin tambuen wasiopenda uovu ni wengi kuliko wapenda maovu. na usidhan haya mnayoyatengeneza yakitimia yatakuwa ya sisi wapinzani tu...la hasha..jicheki sana mzee.Unawazungumzia watz wapi?
Haya siyo mambo mazito kigogo ni balaa kubwa na hakuna haja ya kuendelea na uchaguzi kabisa, tusitishe hadi ushenzi huu uondolewe!Mambo ni mazito kidogo.
Zitto kasema kuwa Pemba hakuna mgombea wa ACT aliyeachwa . Wote 18 wameliwa vichwa.
View attachment 1549864
Aidha Zitto pia amesema jumla ya wagombea ubunge 44 wa ACT-Wazalendo Tanzania nzima wameenguliwa.
Hii ni hatari tupu.
View attachment 1549869
Unatafuta mtelemko.jinga wewe c mmenunua ndege hofu za nn?Watasusa sisi twala!
Kumbuka pia John Magufuli pamoja na PhD yake kakosea kuweka sawa fomu yake na kasaidiwa tuu na hii Tume ya uchaguzi ya ccmAcha kupanic Zitto ikiwa unaona wameenguliwa bila kufuata sheria za uchaguzi kata rufaa au nenda mahakamani.
Tatizo wagombea wenu wanauza mechi na wengine ni mbumbumbu hawategui mitego ya kisheria katika ujazaji fomu sasa wakikosea kujaza unataka wapokelewe na kupitishwa tu unavyotaka? Uchaguzi huanzia kujaza fomu.
Hii lugha ulioitumia ni dhihaka na matusi kwa Watu wa Pemba sidhani kama ulifanya utafiti kujua elimu za hao wagombea hata uka conclude kama walioenguliwa pamoja na wapemba kwa ujumla wao kuwa hawana elimu zaidi ya madrasa ,tujadili mada na kuchangia bila ya kutawaliwa na ubaguzi wala imani potofuPemba wagombea wengi wa upinzani hawajasoma elimu wengi Ni madrasa
Kwakweli akili yako huwa inawaza ujinga muda wote!Sifa ya kuwa mbunge,mojawapo ni kujua kusoma na kuandika!Pemba wagombea wengi wa upinzani hawajasoma elimu wengi Ni madrasa
Mambo ni mazito kidogo.
Zitto kasema kuwa Pemba hakuna mgombea wa ACT aliyeachwa . Wote 18 wameliwa vichwa.
View attachment 1549864
Aidha Zitto pia amesema jumla ya wagombea ubunge 44 wa ACT-Wazalendo Tanzania nzima wameenguliwa.
Hii ni hatari tupu.
View attachment 1549869
Wewe baki tu na maneno yale yale ya kila uchaguziCCM inalazimisha vita kwa faida ya nani ?