Uchaguzi 2020 Zitto: Wagombea wote 18 wa ACT-Wazalendo kisiwani Pemba wameenguliwa


Sheria ya uchaguzi hairuhusu kwenda mahakamani.
 
Sioni namna matendo ya safari hii yatazaa amani, nanusa umwagaji mkubwa wa damu wa kutisha huko mbele na mwisho wake ni NEC na mawakala wao na wanaowapa amri wakifikishwa ICC kujibu mashitaka
 
Sasa mitego ya nini kwenye kutafuta kiongozi wa kuongoza wananchi?
 
Labda wamepeleka tume form zilizobandikwa picha yenye sikio moja why asiondoshwe? hapo ndipo tunaona vipimo vya uongozi wenu ACT
 
Bila kuwashikisha adabu hawa vibaraka wa Jiwe hatutaelewana. Huu uchaguzi utakua wa mwisho kuendeshwa kipuuzi japo mshindi atatangazwa
 
Hivi wale vijana wa form four miaka ile walikuwa wanachora katuni kqenye mtihani.

Wakipata sifuri wanalalamikiwa NECTA?

Huenda mnahujumu kwa kujaza fomu kindezi ili kuwe na vurugu sasa ili mnyoshwe tume iwaachie mliwe bila hoja
 
Wapemba watu wengine kama hamuwajui wapemba subirini nchi mwaipeleka kubaya
Mnawatia ujinga hao watu wenu mwishoni wao ndiyo wanaoumia.Nchi hii hawaipeleki kokote na wafanye fyokofyoko kwani serikali ipo makini.

Kama wamejaza fomu ovyo ovyo tuwasaidieje ? Zitto mngetoa elimu kwanza kwa hao watu jinsi ya kujaza fomu au mnataka hata hilo mfundishwe?

Ujanja wenu ni vitisho na kuporomosha matusi majukwaani ili wazungu tu wawaone lakini kwa ujumla hamna akili wala mipango.Mnalenga IKULU tu basi.Mjitathmini.Kuna mahali mnafeli.
 
Kwahio unaamini kwa akili zako nchi nzima ccm hakuna aliekosea kujaza form?. Na unaamini pia wagombea wote 18 huko Pemba wamekosea kujaza form?.
 
...naiona "serikali "ya Maalim Seif isiyo na mbunge na diwani hata mmoja!
 
Haya mambo mazito itii neno.
Naweka comment nipate update tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…