Uchaguzi 2020 Zitto: Wagombea wote 18 wa ACT-Wazalendo kisiwani Pemba wameenguliwa

Uchaguzi 2020 Zitto: Wagombea wote 18 wa ACT-Wazalendo kisiwani Pemba wameenguliwa

Acha kupanic Zitto ikiwa unaona wameenguliwa bila kufuata sheria za uchaguzi kata rufaa au nenda mahakamani.

Tatizo wagombea wenu wanauza mechi na wengine ni mbumbumbu hawategui mitego ya kisheria katika ujazaji fomu sasa wakikosea kujaza unataka wapokelewe na kupitishwa tu unavyotaka? Uchaguzi huanzia kujaza fomu.

Sheria ya uchaguzi hairuhusu kwenda mahakamani.
 
Sioni namna matendo ya safari hii yatazaa amani, nanusa umwagaji mkubwa wa damu wa kutisha huko mbele na mwisho wake ni NEC na mawakala wao na wanaowapa amri wakifikishwa ICC kujibu mashitaka
 
Acha kupanic Zitto ikiwa unaona wameenguliwa bila kufuata sheria za uchaguzi kata rufaa au nenda mahakamani.

Tatizo wagombea wenu wanauza mechi na wengine ni mbumbumbu hawategui mitego ya kisheria katika ujazaji fomu sasa wakikosea kujaza unataka wapokelewe na kupitishwa tu unavyotaka? Uchaguzi huanzia kujaza fomu.
Sasa mitego ya nini kwenye kutafuta kiongozi wa kuongoza wananchi?
 
Labda wamepeleka tume form zilizobandikwa picha yenye sikio moja why asiondoshwe? hapo ndipo tunaona vipimo vya uongozi wenu ACT
 
Bila kuwashikisha adabu hawa vibaraka wa Jiwe hatutaelewana. Huu uchaguzi utakua wa mwisho kuendeshwa kipuuzi japo mshindi atatangazwa
 
Mambo ni mazito kidogo.

Zitto kasema kuwa Pemba hakuna mgombea wa ACT aliyeachwa . Wote 18 wameliwa vichwa.

View attachment 1549864

Aidha Zitto pia amesema jumla ya wagombea ubunge 44 wa ACT-Wazalendo Tanzania nzima wameenguliwa.

Hii ni hatari tupu.

View attachment 1549869
Alex-Demo-Crazy.jpg
 
Hivi wale vijana wa form four miaka ile walikuwa wanachora katuni kqenye mtihani.

Wakipata sifuri wanalalamikiwa NECTA?

Huenda mnahujumu kwa kujaza fomu kindezi ili kuwe na vurugu sasa ili mnyoshwe tume iwaachie mliwe bila hoja
 
Wapemba watu wengine kama hamuwajui wapemba subirini nchi mwaipeleka kubaya
Mnawatia ujinga hao watu wenu mwishoni wao ndiyo wanaoumia.Nchi hii hawaipeleki kokote na wafanye fyokofyoko kwani serikali ipo makini.

Kama wamejaza fomu ovyo ovyo tuwasaidieje ? Zitto mngetoa elimu kwanza kwa hao watu jinsi ya kujaza fomu au mnataka hata hilo mfundishwe?

Ujanja wenu ni vitisho na kuporomosha matusi majukwaani ili wazungu tu wawaone lakini kwa ujumla hamna akili wala mipango.Mnalenga IKULU tu basi.Mjitathmini.Kuna mahali mnafeli.
 
Mnawatia ujinga hao watu wenu mwishoni wao ndiyo wanaoumia.Nchi hii hawaipeleki kokote na wafanye fyokofyoko kwani serikali ipo makini.Kama wamejaza fomu ovyo ovyo tuwasaidieje ? Zitto mngetoa elimu kwanza kwa hao watu jinsi ya kujaza fomu au mnataka hata hilo mfundishwe ? Ujanja wenu ni vitisho na kuporomosha matusi majukwaani ili wazungu tu wawaone lakini kwa ujumla hamna akili wala mipango.Mnalenga IKULU tu basi.Mjitathmini.Kuna mahali mnafeli.
Kwahio unaamini kwa akili zako nchi nzima ccm hakuna aliekosea kujaza form?. Na unaamini pia wagombea wote 18 huko Pemba wamekosea kujaza form?.
 
...naiona "serikali "ya Maalim Seif isiyo na mbunge na diwani hata mmoja!
openhouseforbutterflies19.jpg
 
Haya mambo mazito itii neno.
Naweka comment nipate update tu.
 
Back
Top Bottom