Uchaguzi 2020 Zitto: Wagombea wote 18 wa ACT-Wazalendo kisiwani Pemba wameenguliwa

Duh we upo timamu lakini?
 
Mambo ni mazito kidogo.

Zitto kasema kuwa Pemba hakuna mgombea wa ACT aliyeachwa . Wote 18 wameliwa vichwa....
This man was very right, unachagua kitu kutoka kwenye vitu zaidi ya kimoja, sasa kama pale kwenye sample kuna kitu kimoja tu nini maana ya kuchagua?
 
Dawa ni kukata vichwa vya hao wagombea 18 wa CCM walio baki, halafu tunaanza upya. CCM wanazingua sana. #sasabasi
 
Upinzani Tanzania hakuna, vyama vyote ni mamluki. Sikutegemea vyama hivyo kuingia uchaguzi bila tume huru ya uchaguzi kwa vituko vilivofanywa na dola uchaguzi wenyeviti wa mitaa.
Hii hoja inafikirisha Sana...
 
Kwa staili ya Lisu wakipatikana wabunge watatu washukuru. Juzi nilipita sokoni kilombero Arusha nilisimama kuwasikiliza wakina mama wanaouza mboga hakika walikuwa wanamlaani Lisu kwa kumwekea pingamizi JPM sijui kama watampa hata kura moja
 
Wa ccm wanaelimu gani ?
 
Achenu ujinga mbona chaguzi zilizopita hatukuwa kushuhudia huu ufedhuli? Pemba inajulikana ni ngome ya Maalim Seif na ameshinda majimbo yote hayo kwa 100% kwenye chaguzi zote zilizopita kuanzia mwaka 1995 hadi 2015. Eti leo hii ndiyo watu hawajuhi kujaza form kwenye huu uchaguzi wa 2020?
What is the logic here. I say Bulshit!!
 
Kwa wenye UFINYU wa akili tu. Unadhani ni kwanini hata marehemu Mkapa alikuwa hana imani na tumeccm na hivyo kutaka uwepo wa Tume Huru? Za kuambiwa changanya na zako.

Kwa staili ya Lisu wakipatikana wabunge watatu washukuru. Juzi nilipita sokoni kilombero Arusha nilisimama kuwasikiliza wakina mama wanaouza mboga hakika walikuwa wanamlaani Lisu kwa kumwekea pingamizi JPM sijui kama watampa hata kura moja
 
Kwa staili ya Lisu wakipatikana wabunge watatu washukuru. Juzi nilipita sokoni kilombero Arusha nilisimama kuwasikiliza wakina mama wanaouza mboga hakika walikuwa wanamlaani Lisu kwa kumwekea pingamizi JPM sijui kama watampa hata kura moja
Kwa vyovyote wanaomlaani Liusu Ni CCM, Sasa hao watampaje kura? Hilo Ni jibu sio swali. Suala hapa Ni kwamba Kama una uhakika ya hao kutowapigia kura wapinzani woga wa kuogopa uchaguzi huru na haki mpaka kuleta mtindo wa kuenguana unatoka wapi? Mna pakuanzia - madege, madaraja, reli, umeme, mahospitali, mmedhibiti Corona, elimu bure yote mmefanya, kampeni miaka 5 hawa wako kimya. Wanna siku 60 tu za kujitambulisha, kujinadi na kutoa ahadi, mnamuogopaje huyu?????? Hapo ndio sipati jibu? Au mliteka watu kweli? Mliua kweli? Mnaonea wananchi kweli? Mnavunja katiba kweli? Wooogaaa waniiiniiii??????
 
Kwa staili ya Lisu wakipatikana wabunge watatu washukuru. Juzi nilipita sokoni kilombero Arusha nilisimama kuwasikiliza wakina mama wanaouza mboga hakika walikuwa wanamlaani Lisu kwa kumwekea pingamizi JPM sijui kama watampa hata kura moja

Mkuu uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara.
 
Hata wao kwa wao ni issue,hawana msimamo wa pammoja katika mambo ya msingi.
Lakini kuna tatizo kubwa ya kumtambuwa mpinzani wa kweli au mpinzani pandikizi,na wakati mwingine mpinzani biashara anauza chama kwa maslahi yake binafsi.
 
Zito anaweza kua ashachua chake mapema,kwani ishu za zito si zinafahamika mzee wa kuchukua cha juu
 
Upinzani Tanzania hakuna, vyama vyote ni mamluki. Sikutegemea vyama hivyo kuingia uchaguzi bila tume huru ya uchaguzi kwa vituko vilivofanywa na dola uchaguzi wenyeviti wa mitaa.
Yaani mimi binafsi nilitegemea uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana kwa kitendo kile kilichofanyika nchi nzima cha kuwaengua wapinzani kwa 96% then nilitegemea kutakuwa na harsh reaction kutoka vyama vya upinzani hasahasa kuhakikisha 2020 tunaingia uchaguzi na TUME HURU but ndo hivyo haya ndo madhara yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…