Sintakaa nisahau enzi hizo. Kulitokea uhaba mkubwa sana wa maji.. Watu wa kona ya Bwiru wanaweza kukumbuka vizuri ziwa lilipokauka. Unaambiwa tulikuwa tunasafiri kwa bodaboda hadi visiwani Ukerewe.Hii ina ukweli gani wakuu?![]()
ZIWA VICTORIA LIMEWAHI KUKAUKA MAJI YOTE MARA TATU
Ziwa Victoria ni ziwa la pili kwa ukubwa duniani baada ya Ziwa kuu la Kaskazini nchini Marekani.
Ziwa hili ambalo lina kina cha mita 83 ni moja ya maziwa machanga katika historia ya dunia kwa maana hayana miaka zaidi ya milioni moja toka yafanyike. Ziwa Victoria lilitokea takribani 400,000 iliyopita.
Ziwa Victoria lina historia ya kipekee kijiografia duniani likiwa ni moja ya ziwa kuu ambalo limekutwa na tukio la kukausha maji yake yote mara tatu.
Zaidi ya miaka 17,300 iliyopita ziwa hili ambalo ni chanzo kikuu cha mto Nile (white Nile ) ingawa chanzo halisi ni mto Kagera ,
lilikauka kabisa na kusababisha ukame mkubwa eneo lote la Victoria basin na nchi zote ambazo mto Nile unapita lakini athari kubwa ikiwa nchini Misri.
Ziwa hili lilijaa tena maji miaka 14,700 iliyopita hii ina maana kuna...miaka 2700 , ziwa hili lilikuwa kavu kabisa na flow pekee ya maji kiasi sana katika bonde la mto Nile, ilitegemea chanzo pekee cha Ziwa Tana ambalo halikuweza kuyasukuma maji kufika Misri!.
View attachment 3140744
Labda wanasayansi wathibitishe.Liliwahi kukauka kipindi cha Mkapa mwaka 2010.
Maji kupungua kwa ziwa victoria kulitokea mwaka 2006 ule ukame uliathiri ghuba ya speak yote kiasi kwamba boat ama mtumbwi wa kivuvi ulikuwa unakwama kwa zaidi ya 500 mita kutoka ulipokuwa unakwamia 2004. Lakini hali ilianza kuwa sawa kwa mwaka 2008 na kuendelea. Kuna watu walikuwa wanatoka kayenze na igombe kupitia katikati ya ukerewe na kisorya hiyo kuelekea visiwa vya msoma ila hiyo njia ilikufa. Maana vyombo vilikuwa havipiti hapo. Ilibaki kidogo tu mara na ukerewe watu waende kwa migiuSintakaa nisahau enzi hizo. Kulitokea uhaba mkubwa sana wa maji.. Watu wa kona ya Bwiru wanaweza kukumbuka vizuri ziwa lilipokauka. Unaambiwa tulikuwa tunasafiri kwa bodaboda hadi visiwani Ukerewe.
17300 ulikuepooooo😄😄Sasa babu zako waliishi hapo bukoba miaka 17,300 toka sasa... ? Maana mara ya mwisho kukauka ni miaka 17,300 toka sasa
Kwahiyo "mkodomi" nyie wana bk ndo wamiliki halali wa ziwa victoria?Ain't nothing like that, for what extent unaweza ku verify hiyo statement yako ya kuwa lilikauka miaka 17,300. Toa evidence au reference ya kitabu hata kimoja kusapoti hii point yako. Ujue hata km ni zaman, lkn history never dies, tungejua tuu... Hasa sis wana bukoba
Hizo ni hekaya za abunuasi!Hii ina ukweli gani wakuu?![]()
ZIWA VICTORIA LIMEWAHI KUKAUKA MAJI YOTE MARA TATU
Ziwa Victoria ni ziwa la pili kwa ukubwa duniani baada ya Ziwa kuu la Kaskazini nchini Marekani.
Ziwa hili ambalo lina kina cha mita 83 ni moja ya maziwa machanga katika historia ya dunia kwa maana hayana miaka zaidi ya milioni moja toka yafanyike. Ziwa Victoria lilitokea takribani 400,000 iliyopita.
Ziwa Victoria lina historia ya kipekee kijiografia duniani likiwa ni moja ya ziwa kuu ambalo limekutwa na tukio la kukausha maji yake yote mara tatu.
Zaidi ya miaka 17,300 iliyopita ziwa hili ambalo ni chanzo kikuu cha mto Nile (white Nile ) ingawa chanzo halisi ni mto Kagera ,
lilikauka kabisa na kusababisha ukame mkubwa eneo lote la Victoria basin na nchi zote ambazo mto Nile unapita lakini athari kubwa ikiwa nchini Misri.
Ziwa hili lilijaa tena maji miaka 14,700 iliyopita hii ina maana kuna...miaka 2700 , ziwa hili lilikuwa kavu kabisa na flow pekee ya maji kiasi sana katika bonde la mto Nile, ilitegemea chanzo pekee cha Ziwa Tana ambalo halikuweza kuyasukuma maji kufika Misri!.
View attachment 3140744
Anadhani labda limekauka juzi!Sasa babu zako waliishi hapo bukoba miaka 17,300 toka sasa... ? Maana mara ya mwisho kukauka ni miaka 17,300 toka sasa
Kwahiyo wewe unaona uharibifu wa vyanzo vya maji ndiyo kitu pekee kinapelekea Ziwa au chanzo Cha maji kukaukaUongo.hakuna kitu kama hicho.kwanza Kwa miaka hiyo hapa kuwa na uharibifu wa mazingira ambao ungepelekea kukauka Kwa vyanzo vya maji maana idadi ya watu walikuwa wachache sana.Hawa wanajiografia wanapenda kutaja miaka mingi ya mamilioni ili kuhalalisha uongo wao.
Hutaki?😆Eti miaka 17,000 iliopita.