Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichekesho sasa; kaeneo kenyewe ka Gaza ni kadogo tu! Lakini Mayahudi na intelijensia yao maarufu duniani, wameshindwa kutambua walipo hao mateka! Na badala yake waliishia tu kuua wanawake wengi wa Kipalestina na watoto wao; na pia kuharibu majengo.Hivi Hamas walikuwa wamewaficha wapi hawa mateka.
List hii
Romi Gonen, 23
Emily Damari, 27
Arbel Yehud, 29
Doron Steinbrecher, 31
Ariel Bibas, 5
Kfir Bibas, 2
Shiri Silberman Bibas, 33
Liri Albag, 19
Karina Ariev, 20
Agam Berger, 21
Danielle Gilboa, 20
Naama Levy, 20
Ohad Ben-Ami, 58
Gadi Moshe Moses, 80
Keith Siegel, 65
Ofer Calderon, 54
Eli Sharabi, 52
Itzik Elgarat, 70
Shlomo Mansour, 86
Ohad Yahalomi, 50
Oded Lifshitz, 84
Tsahi Idan, 50
Hisham al-Sayed, 36
Yarden Bibas, 35
Sagui Dekel-Chen, 36
Yair Horn, 46
Omer Wenkert, 23
Sasha Trufanov, 28
Eliya Cohen, 27
Or Levy, 34
Avera Mengistu, 38
Tal Shoham, 39
Omer Shem-Tov, 22
Kupitia hivi vita watu wamejua mengi sana kuhusu Israel hawana lolote ndiyo maana Trump kamwambia Netanyahu huwezi kuwashinda Hamas zaidi ya kupoteza wanajeshi wako, angalia leo Hamas wanavyojiachia kama vile kulikuwa hamna vita.Kichekesho sasa; kaeneo kenyewe ka Gaza ni kadogo tu! Lakini Mayahudi na intelijensia yao maarufu duniani, wameshindwa kutambua walipo hao mateka! Na badala yake waliishia tu kuua wanawake wengi wa Kipalestina na watoto wao; na pia kuharibu majengo.
Ila kuna Kiongozi ndani ya serikali ya Netanyahu aliwahi kutamka hadharani ya kwamba ni ndoto kuingamiza Hamas!Hilo linamuuma sana! Entebbe walitumia muda mfupi sana kuwakomboa mateka. Vita ya 1967 walitumia siku 6 tu kumaliza kazi. Lakini Hamas wamesumbua sana zaidi ya mwaka bila kuwakomboa mateka.
Ila ni afadhali wamekubali kusitisha vita ilmradi mateka wanatolewa hai kwenye mateso ya kwenye mahandaki.
Kuna siku utapata kichaa! Achana na hizi mambo, jikite kusaka noti.Israel imewateka nyara zaidi ya watoto 13,000 tangu mwaka 2000, kuwaweka jela na kuteswa, kunyanyaswa kingono, kupigwa na kudhalilishwa. Hili ni taifa la mauaji ya halaiki, la kigaidi na siku zote limekuwa- likitumia Marekani na vyombo vya habari kama kifuniko cha uhalifu wao wa kivita.
Wewe ndiyo utakuwa shoga mwehu unafuatilia utadhani mimi basha wako😂 mimi noti za nini wewe mwenye noti unapoteza muda wako kusoma nyuzi zangu.Kuna siku utapata kichaa! Achana na hizi mambo, jikite kusaka noti.
Unaona sasa, umesha chizikaWewe ndiyo utakuwa shoga mwehu unafuatilia utadhani mimi basha wako😂 mimi noti za nini wewe mwenye noti unapoteza muda wako kusoma nyuzi zangu.
Mtoto wa kiume unaitwa njinjo kuna nini kama siyo upinde.