Zoezi la kubadilishana mateka na wafungwa litaanza Jumapili saa 8:30 a.m. (06:30 GMT), kati Israel na Hamas

Zoezi la kubadilishana mateka na wafungwa litaanza Jumapili saa 8:30 a.m. (06:30 GMT), kati Israel na Hamas

Kichekesho sasa; kaeneo kenyewe ka Gaza ni kadogo tu! Lakini Mayahudi na intelijensia yao maarufu duniani, wameshindwa kutambua walipo hao mateka! Na badala yake waliishia tu kuua wanawake wengi wa Kipalestina na watoto wao; na pia kuharibu majengo.
 
Kupitia hivi vita watu wamejua mengi sana kuhusu Israel hawana lolote ndiyo maana Trump kamwambia Netanyahu huwezi kuwashinda Hamas zaidi ya kupoteza wanajeshi wako, angalia leo Hamas wanavyojiachia kama vile kulikuwa hamna vita.

View: https://x.com/saeedziad/status/1880997829864485306?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hilo linamuuma sana! Entebbe walitumia muda mfupi sana kuwakomboa mateka. Vita ya 1967 walitumia siku 6 tu kumaliza kazi. Lakini Hamas wamesumbua sana zaidi ya mwaka bila kuwakomboa mateka.

Ila ni afadhali wamekubali kusitisha vita ilmradi mateka wanatolewa hai kwenye mateso ya kwenye mahandaki.
Ila kuna Kiongozi ndani ya serikali ya Netanyahu aliwahi kutamka hadharani ya kwamba ni ndoto kuingamiza Hamas!

Kwa sababu Hamas ni itikadi iliyojengwa kwenye mioyo ya Wapalestina walio wengi! Aliishia tu kupuuzwa na kupingwa. Ila mwisho wa siku ukweli umedhihirika.
 
Israel imewateka nyara zaidi ya watoto 13,000 tangu mwaka 2000, kuwaweka jela na kuteswa, kunyanyaswa kingono, kupigwa na kudhalilishwa. Hili ni taifa la mauaji ya halaiki, la kigaidi na siku zote limekuwa- likitumia Marekani na vyombo vya habari kama kifuniko cha uhalifu wao wa kivita.
Kuna siku utapata kichaa! Achana na hizi mambo, jikite kusaka noti.
 
Kuna siku utapata kichaa! Achana na hizi mambo, jikite kusaka noti.
Wewe ndiyo utakuwa shoga mwehu unafuatilia utadhani mimi basha wako😂 mimi noti za nini wewe mwenye noti unapoteza muda wako kusoma nyuzi zangu.

Mtoto wa kiume unaitwa njinjo kuna nini kama siyo upinde.
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Hili litashuka kama mojawapo ya kushindwa kubwa kwa Israeli

Mateka walikuwa Kaskazini mwa Gaza wakati wote, chini ya pua ya IDF wakati huu wote

Walivamia kila inchi ya kaskazini mwa Gaza na hawakuweza kupata fununu hata moja juu ya waliko.

Kikumbusho kingine kwa nini kusitisha mapigano ndio njia pekee!
 
Wewe ndiyo utakuwa shoga mwehu unafuatilia utadhani mimi basha wako😂 mimi noti za nini wewe mwenye noti unapoteza muda wako kusoma nyuzi zangu.

Mtoto wa kiume unaitwa njinjo kuna nini kama siyo upinde.
Unaona sasa, umesha chizika
 
Unaona sasa, umesha chizika
Mimi na wewe nani kachizika? Yaani unaacha kuchangia uzi unania attack unadhani nashindwa kukujibu nikuambie tu ukweli mimi na mashoga mbali mbali dini yangu inanikataza kufir**
 
Back
Top Bottom