FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Ni mtoto wa miaka mitano (5); baada ya baba yake kumtafuta kwa masaa kadhaa ndio akagundua kwamba kadumbukia kwenye kisima kilichokuwa kinafanyiwa matengenezo. Video zina maelezo
“Do this, send a soft bracelete attached to a rope along with a speaker, let his dad explain to him how wear it, after the camera comfirms he has worn the bracelete, gently pull him up with a winch”
==================================
=========
Juhudi za kumuokoa mtoto wa kiume wa miaka mitano aliyeanguka katika kisima karibu na mji wa Chefchauone zinaendela huko nchini Morocco. Mtoto huyo ambaye vyombo vya habari vya eneo hilo vimemtambua kwa jina la Rayan alidaiwa kucheza karibu na kisima hicho.
Rayan anaaminika kuanguka mita 32 kupitia mwanya mdogo wa shimo hilo. Picha zilizoingizwa katika kisima hicho zinaonesha kwamba mtoto huyo bado yuko hai na ana ufahamu licha ya kwamba anaonekana kujeruhiwa kichwani.
============================
06/02/2022
Hatimae wamemnasua muda huu