Zoezi la kumuokoa mtoto Rayan wa Morocco aliyezama ndani ya kisima cha mita 30 limeingia siku ya 3, tumaini bado

Zoezi la kumuokoa mtoto Rayan wa Morocco aliyezama ndani ya kisima cha mita 30 limeingia siku ya 3, tumaini bado

Jamaa wanajari sana uhai wa mtu, huku kwatu polisi anakuua Ili akuibie kibunda Chako (Hadi anashiriki polisi ngazi za juu ***** bongo nchi ngumu hii)

Na waziri anakaa kimya Hadi amsikie raisi kasema (kamwagiza) ndo anashtuka. Waziri wa mambo ya ndani yupo tu hata ajui afanye nini?
Yaani nilishangaa mpaka raisi aliposema iundwe tume dahh !! Wakati Kuna waziri wa wizara husika yupo amekaa kimya tu
 
Back
Top Bottom