Jamaa wanajari sana uhai wa mtu, huku kwatu polisi anakuua Ili akuibie kibunda Chako (Hadi anashiriki polisi ngazi za juu ***** bongo nchi ngumu hii)
Na waziri anakaa kimya Hadi amsikie raisi kasema (kamwagiza) ndo anashtuka. Waziri wa mambo ya ndani yupo tu hata ajui afanye nini?