jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Mwisho ni lini?
kama ni jambo jema ndo ukalishe watu kutwa nzima siku mbili?kuhakiki tarifa ni jambo jema ndugu
Imetangazwa lini hiyo taarifa ya uhakiki?
Habari, Tafadhali tembelea tawi la NMB ukiwa na kitambulisho (Kura/Leseni/NIDA/Zanzibar Mkazi/Pasipot) kuboresha taarifa ya akaunti yako kabla ya tar 30.08.24.Nina akunti NMB ila sijapata huo ujumbe ,wanahakiki nini kwani?
Nashangaa. Mimi na hiki kichwa ningekuwa na account huko ningetoa Hela halafu nisingeenda😀😀😀😀 Hii nchi!
Kuhakiki taarifa mteja anatakiwa akapange foleni bank???
Ankoli Kaa kimasta , huo mtegoNauliza wanahakiki nini?. Mbona mimi sina habari na taarifa hiyo.
Labda wanawaburuza sababu ni watumishi wa umma ambao mishahara lazima ipite huko au CRDB.Nashangaa. Mimi na hiki kichwa ningekuwa na account huko ningetoa Hela halafu nisingeenda
Equity BANK wako poa sanaNMB na CRDB ni bank za waswahili, zinaendeshwa kiswahili sana.
Hamia Equity Bank au ABSA Bank, utakuja kunishukuru.
kama mkoa ulipo hakuna equity, hamia hata NBC Bank
NMB MKIFUNGIA AKAUNTI YANGU NAWASHITAKI.
HAKUNA PAHALA MUMESEMA KWAMBA KUTOKUHAKIKI KUNASABABISHA ACCOUNT KUFUNGWA.
Acha basi 😂Maswali yao sasa
Umeoa?
Kipato chako kwa mwaka!?
Umewahi kujihusisha na siasa?
Heee haha!Habari, Tafadhali tembelea tawi la NMB ukiwa na kitambulisho (Kura/Leseni/NIDA/Zanzibar Mkazi/Pasipot) kuboresha taarifa ya akaunti yako kabla ya tar 30.08.24.
nadhani ndo itakuwa hivyo, ila suala la kuhakiki litakuwa pale pale...Kama unapitishia mshahara utaenda tu. Baada ya trh 31 zinakuwa temporary closed ili watu wakahakiki. But kutakuwa na usumbufu tu ila permanent close haitatokea kwa account zenye pesa.