Zuchu aachane na Wasafi asimame mwenyewe kama Nandy ! Atafute mume aolewe muda ni sasa awe na familia

Kuna jamaa Kasema Eti Zuchu akiachana na Nasibu Diamond kupata Mwanaume. Mwingine wa kueleweka itakuwa majaliwa 🤣🤣🤣
Iła Watu jamani ?!
 
Au sio mavoko alikuwa na wenge lake tu
 
Au sio mavoko alikuwa na wenge lake tu
Zuchu nidhamu hana hii ndio itamfelisha maana hapo Wasafi label imemsaidia hata akifanya utovu wa nidhamu bado anakuwa na jina but akitoka nje naakaendelea kufanya hivyo anakufa mazima
 
Ni bongo tu ambapo kila msanii akishapata kajina tu wanataka aachane na label iliyomkuza... Ndo maana mziki wetu hauendi popote.

Nina uhakika harmo na rayavany wangebaki usafini wangefanya makubwa na wangekuwa mbali sana kimziki. Sema wakajaa kwenye mifumo ya wabongo km alivyojaa mavoko na mpaka sasa wanafurukuta wafikie japo nusu ya vile walivyokuwa WCB lakini waapi. Wanaishia kutapatapa tu
 
Ninyi mnaoanzisha nyuzi za namna hii ndiyo wachawi wakubwa Kwa career za wenzenu. Hampendi mtu afanikiwe . Eti aachane na wasafi . We jamaa ni mchawi siyo Bure.
 
Sijaona ulipo sema utamlipia kuvunja mkataba na WCB.pesa unazo.
All the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…