Zuchu kuimba 'matusi', nimeghafirika sana...

Nashangaa amekataa milioni 250 kwasababu ya imani yake kufanya promo za pombe huku akihamasisha matusi ,kumchumia tembele ,mara tembele lake laini ,sukari yake imefanyaje ,sasa sijui matusi yamekaaje kwa imani yake.

Ni bora angechukua milioni 250 halafu kwenye chupa ya bia angekuwa anaweka maji ili kuwazuga mashabiki wake.
 
Shekh husijidanganye kuwa ni mdogo huyo boss wake kashakunja vizuri sana na anaedelea kwa michezo ya style anayoimba tunaojua mtoto wa tandale kashamuaribu huyo binti.
 
Tatizo siyo la ZUCHU, tatizo ni la wasikilizaji wa hizo nyimbo, yaani Watanzania. Wengi wao wanapenda sana hayo matusi na wanayafurahia sana tena sana. Mpaka viongozi wa chama na Serikali wanapenda sana hayo mashairi ya akina ZUCHU.
Mfano ni ule wimbo wake wa "sukari", wimbo huo umejaa matusi sana lakini cha ajabu hata kwenye ziara za Madam SSH utasikia ZUCHU anauimba na Rais anamtunza zawadi.

What a perverted generation.
 
Nafuu umeona hilo.

UISLAM unapinga UNAFIKI huku unaukumbatia.
 
Matusi yanaimbwa duniani kote kuanzia ulaya,USA,SA,Nigeria ndo usiseme

Au kwakuwa hawaimbi kiswahili,BASATA wapo wakiona Mambo siyo watachukua hatua
Sasa anajidai hafanyi matangazo na wakati anaimba matusi na kuhamasisha UZINZI kupitia nyimbo za matusi.

Uislam una Unafiki sana.
 
aahhh arooo hawa wanafeed bongo zetu matusi matusi tu left and right wanaupiga mwingi mradi waingize pesaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ and its very sad yani
 
Shekh husijidanganye kuwa ni mdogo huyo boss wake kashakunja vizuri sana na anaedelea kwa michezo ya style anayoimba tunaojua mtoto wa tandale kashamuaribu huyo binti.
Hiv mtu wa 92/93 nae ni mtt???
 
Mnasema kizazi hiki kinapenda ngono
[emoji23][emoji23][emoji23]

kwa yanayoendelea kwenye entertainment industry, subiri hiki kinachobalehe sasa hivi
Kwani wale Mungu aliwateketeza kwa Moto na maji kilikuwa kizazi gani?
 
Deal la bei gani etiπŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Wana mikataba na nguvu za giza
 
Mi sizijui nyimbo zake sijawahi mfuatilia,ila hii nyimbo yake ya nyumba ndogo imenishangaza!
Upumbavu mtupu wanaimba
 
Mbona alikataa dili la TBL kuwa linakinzana na dini Yake ?

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Sasa anajidai hafanyi matangazo ya wakati anaimba matusi na kuhamasisha UZINZI kupitia nyimbo za matusi.

Uislam una Unafiki sana.
Nadhani ubinadamu wetu ndio shida zaidi. Mfano wote tunajua rushwa ni dhambi lkn viongozi wa dini na sisi sote tunatoa rushwa, tunasema uongo kwa Sana, tunaiba kwa dizaini tofauti na kupooza makosa kwa Majina tofauti tofauti, utasikia jamaa kapiga mzigo mrefu halafu unaoneokana mjanja Sana.
Hili la pombe kweli ndugu zangu waislam mkuje hapa mseme. Kuna jamaa yangu tulikuwa naye kazini yeye muislam ila anapiga totoz balaa, wake za watu, mpaka lile tundu Dogo aka Al kudhuf! Lkn pombe hataki kabisa. Labda watupe fafanuzi Kuna uzito tofauti wa dhambi?
 
nilishangaa sana huu unafiki,y
Hana unafiki wowote,pengine wewe mkuu umetafsiri vibaya.
,yaani uislam wake unaruhusu aimbe mashairi yenye matusi,ila kugusa bia haukubali!
Sasa hapa alichokifanya yeye wewe umeufanya ndio uislamu jambo ambalo mtu mwenye mawazo mazuri hatakiwi kufanya.

Uislamu hauruhusu matusi wala hauruhusu pombe kuinadi ama kunywa.
Zuchu yupo sahihi na wala sio mnafiki

Kwenye Dini aau imani unaweza kuwa ni rahisi kwako kufanya dhambi moja lakini dhambi ingine ikawa ngumu kwako kufanya.

Mfano mtu anaweza kuwa analewa lakini ukimuambia kula nguruwe hataki kabisa,yani anajizuwia kula nguruwe lakini hawezi kujizuia kunywa pombe.

Sasa huwezi kumuambia kwamba kwa kuwa unalewa basi kula na nguruwe tu,huo utakuwa ni ufahamu wa wa chini.

Kuacha kwake tangazo la pombe ni jambo zuri kwa sababu kumempunguzia madhambi ambayo angepata kwa kuitangaza kwake.

Zichu kwa hili asibezwe(kama ni kweli) na kama kaacha kwa sababu hyo Mungu anampa thawabu licha ya kuwa ni muimbaji muovu.
Uislam dini moja ya ajabu sana,
Dini ya ajabu kwa hili hili la zuchu kukataa huku na kukubi kule au ni dini ya ajabu kwa mambo mengine tukiachia jambo hili mkuu ?
 
Fact! Though sipo kwajili ya kumtetea (kumkingia kifua) Zuchu

Umechambua vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…