Zuchu kuimba 'matusi', nimeghafirika sana...

Uislamu sio dini ya ajabu wa ajabu ni huyo mpuuzi.
 
Mzee usipoeleweka na hii basi ni kusudi za watu tu!
 
DHAMBI KANAFANYA KUIMBA MATUSI ILA KANAONA NI SAHIHI.. KAMPUNI ZA POMBE ZIKIMFUATA KWA MATANGAZO NDIO ANAONA NI USHETWANI ILA MATUSI EWALAAA
 
Ni sawa na watu wanakula channel O([emoji2539]) lakini kiti moto wanakwambia ni haramu.
 
Fact.
 
U
Upo sahihi ila kuutangazia ulimwengu kwamba hutafanya kitu fulani kwa sababu ya dini,harafu wakati huo huo unafanya kingine ambacho pia dini yako inakataza,hapo Kuna walakini acha yote ambayo unafanya hadharani ambayo dini yako inakataza,aache muziki,
Unafiki upo hapo shekh,mie mengine nafanya sirini.
 
wanaosema zuchu anaimba matusi ni wanafiq wakubwa, hawa hawa ndo asubuhi, mchana jion wanashinda porn site wakiwatch hayo matusi.
 
Soma hiyo dokomenti,uone unafiki wa dini yako
Una matatizo ya akili.

Dini toka lini ikawa na unafki.

Kama unafki ni wa hao wanaoifuata hiyo dini lakini si dini.

Na kuhusu kuwepo kwa wanafki miongoni mwa waislamu wala si jambo geni hata enzi za mtume walikuwepo na wataendelea kuwepo.

Labda kama una chuki zako binafsi na uislamu.
 
Dini inaweza Kuwa Na unafiki.
Mfano Uislam kupitia Kulwani Bila aibu kabisa Wala kuficha u
inawaasa waislam waishi kinafiki Na wasiokuwa waislam...Wawachekee usoni ila moyoni wawatukane.
Huo sio unafiki?
 
Siyo dini yake ni majini/mapepo yake hayaruhusu bia. Kama ingekuwa ni dini asingeimba mziki wa kidunia asingevaa nusu uchi wala asingeimba uzinzi
 
Amezaliwa Mwananyamala kwa Kopa eenh? Kama ni hivyo wala usimshangae mkuu. Wakulaumiwa ni BASATA na vyombo vyake
 
Halafu si ndio walisema hatangazi pombe sababu ni dhambi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbona alikataa dili la TBL kuwa linakinzana na dini Yake ?

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app

siwezi kujua kama ni kweli au ni kitu tu wametengeneza ili kumpandisha thamani mfano makampuni mengine yakimtaka hayawezi kuja na deal za milioni 10

kuna assumptions nyingi zaidi ya hizo ila mwisho wa siku ukweli wanaujua wenyewe
 
Kwani wale Mungu aliwateketeza kwa Moto na maji kilikuwa kizazi gani?

kwani unaweza kukielezea kiwango cha dhambi zao ??..

ni sawa na chetu, kilichopita au hicho nilichokiongelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…