jinola hamza
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 657
- 441
Ni kawaida kwa wcb kuimba matusiI'm highly disappointed in her. She is too young to be this stupid.. It is too early..
Wakati mwingine najiuliza WCB wana mikataba na nguvu gani... Wanaimba matusi lakini bado wanasurvive.
Hovyo kabisa...
....kula kichwa hadi mkia... naipaka mate naifanyeje sijui...
Takataka kabisa
naunga mkono hojaaView attachment 1896434Matusi ni tafsiri yako kichwani mwako,kuipaka mate hata simu waweza ipaka mate ili ufute kioo kwenye kitambi.
Kajifunze kuandika kwanza.Dini inaweza Kuwa Na unafiki.
Mfano Uislam kupitia Kulwani Bila aibu kabisa Wala kuficha u
inawaasa waislam waishi kinafiki Na wasiokuwa waislam...Wawachekee usoni ila moyoni wawatukane.
Huo sio unafiki?
Sikiliza kwaya mkuu.. ya keisari mwachie keisari [emoji28][emoji28][emoji28]I'm highly disappointed in her. She is too young to be this stupid.. It is too early..
Wakati mwingine najiuliza WCB wana mikataba na nguvu gani... Wanaimba matusi lakini bado wanasurvive.
Hovyo kabisa...
....kula kichwa hadi mkia... naipaka mate naifanyeje sijui...
Takataka kabisa
Tatizo lugha mkuuMatusi yanaimbwa duniani kote kuanzia ulaya,USA,SA,Nigeria ndo usiseme
Au kwakuwa hawaimbi kiswahili,BASATA wapo wakiona Mambo siyo watachukua hatua
Uko sahihi mkuu , tatizo watakatifu upends kupangia watu maishaMziki wa Kishetani unataka mistari isifie Mbingu,uliona wapi.
Huko walipo na wanachoimba wako sahihi,Sisi watakatifu tuna nyimbo zetu za injili za kusikiliza.
Karibu usikilize hizo
Yes uko sahihi mkuuwanaosema zuchu anaimba matusi ni wanafiq wakubwa, hawa hawa ndo asubuhi, mchana jion wanashinda porn site wakiwatch hayo matusi.
Sio wanafaki, ata ww unaweza kuangalia porn lakin uwezi angalia porn na.mtoto wako. Kinachotokea kwa wasanii wa leo ni kuanza kuwapandikizia watoto mavitu kabla ya mda waowanaosema zuchu anaimba matusi ni wanafiq wakubwa, hawa hawa ndo asubuhi, mchana jion wanashinda porn site wakiwatch hayo matusi.
Mm ni mkristu lakin hiyo kauli yako ya mwisho naipinga.Sasa anajidai hafanyi matangazo ya wakati anaimba matusi na kuhamasisha UZINZI kupitia nyimbo za matusi.
Uislam una Unafiki sana.
Halafu anakataa kufanya matangazo na kampuni za pombe...bich[emoji817]I'm highly disappointed in her. She is too young to be this stupid.. It is too early..
Wakati mwingine najiuliza WCB wana mikataba na nguvu gani... Wanaimba matusi lakini bado wanasurvive.
Hovyo kabisa...
....kula kichwa hadi mkia... naipaka mate naifanyeje sijui...
Takataka kabisa
Hapo ndipo alipobugi pombe haikwepeki usipoifanyia tangazo directly utaipromote indirectly. Kasahau kuwa kuna videos itatakiwa aonekane anakunywa(inategemea), kasahau kuwa tuzo wanazochukua nyingne zipo sponsored by makampuni ya vilevi, nkHalafu anakataa kufanya matangazo na kampuni za pombe...bich[emoji817]
Hajielewi huyu...kama hufanyi matangazo ya pombe ambayo ni haram kisa uislam,wakati pia muziki ni haram kwa mujibu wa uislamHapo ndipo alipobugi pombe haikwepeki usipoifanyia tangazo directly utaipromote indirectly. Kasahau kuwa kuna videos itatakiwa aonekane anakunywa(inategemea), kasahau kuwa tuzo wanazochukua nyingne zipo sponsored by makampuni ya vilevi, nk
Tena sio mziki tu ata anavyo vaa nusu uchi napo sijui ajioniHajielewi huyu...kama hufanyi matangazo ya pombe ambayo ni haram kisa uislam,wakati pia muziki ni haram kwa mujibu wa uislam
Waislam wa nchi hii...[emoji16][emoji16][emoji16] NI HUZUNI KWAKWELI.
Akili mbili huyu binti...Tena sio mziki tu ata anavyo vaa nusu uchi napo sijui ajioni
Last appearance r.i.p Citizen BDini inaweza Kuwa Na unafiki.
Mfano Uislam kupitia Kulwani Bila aibu kabisa Wala kuficha u
inawaasa waislam waishi kinafiki Na wasiokuwa waislam...Wawachekee usoni ila moyoni wawatukane.
Huo sio unafiki?