jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Zumaridi anawafundisha watoto kwamba yeye ni mungu, yeye ndie msaada na ndie anayewakinga na mauti, anasema yeye ni mtawala wa dunia mzima na anayetawala vitu vyote vya duniani na mbinguni tena wake kuna uzima wa milele.
View attachment 2679921
Halafu anawaambia watoto leo atawapikia tena wali[emoji41][emoji41][emoji41]
Inatisha, inasikistisha..... huyu heri angebakigi kulekule jela
Nawewe wafundishe ukitaka kwani umezuiwa,mana hizi imani ni mind controller hakuna ushahidi wa uhakika juu ya uwepo wa huyo mungu mnayempigania na kumtetea