Zumaridi asichukuliwe kimasihara, imani ni kitu kikubwa sana inahuisha na imani inaua Watanzania tuamke

Zumaridi asichukuliwe kimasihara, imani ni kitu kikubwa sana inahuisha na imani inaua Watanzania tuamke

Dini ni kile unacho kiamini ..... mfano zamani wazee wetu waliabudu chini ya miti mikubwa wakaomba mvua na zika nyesha ..... kuna watu wana abidu wanyama kama ng'ombe ..... mwache mtu na imani yake kibaya asivunje sheria za nchi na taratibu zilizo wekwa au kama una agenda nyingine sema

Wewe unaamini kwamba zumaridi ndio anakulinda ili usife!???
 
Nafkiri hujanielewa .... nimejaribu kuzungumzia uhuru wa imani as long asivunje sheria za nchi .... naomba unisome vzri
Maada hapa ni zumaridi
Soma Uzi usikilize na video
 
Huu ndio ukweli
Sasahivi tutaona hili jambo halituhusu ila matokeo yake yataigusa jamii yote hayatachagua kwamba huyu alinyamaza, au alishangilia au alikemea

Yesu atusaidie sana
Ungeendelea kuelezea how hilo litaimpact the whole society ama taifa kwa ujumla?!!
Anaweza kuwa yeye ndo msaada wao kwa kila kitu so watoto lazma wamuamini na kumsikiliza na sio tatizo

Chukua hatua sio kumuachia yesu wakati watoto wanalishwa na kuvalishw na Zumaridi..
 
Sio kweli. Anajua ni kitu gani anafanya vizuri kabisa.

Body Language is almost perfectly controlled. Yuko makini na kazi yake.

Mento means mwezi mchanga ,maji kupwa maji kujaa yaani sometime yes sometime no ileve bu mazee bichwa maji.
 
Ungeendelea kuelezea how hilo litaimpact the whole society ama taifa kwa ujumla?!!
Anaweza kuwa yeye ndo msaada wao kwa kila kitu so watoto lazma wamuamini na kumsikiliza na sio tatizo

Chukua hatua sio kumuachia yesu wakati watoto wanalishwa na kuvalishw na Zumaridi..

Sijamuachia Yesu ila nimesema atusaidie
Kuchukua hatua ni pamoja na hili ninalofanya hapa
Na wewe chukua hatua usisubiri mwingine akufanyie, fanya kwa nafasi yako na yeye afanye kwa nafasi yake
 
Sijamuachia Yesu ila nimesema atusaidie
Kuchukua hatua ni pamoja na hili ninalofanya hapa
Na wewe chukua hatua usisubiri mwingine akufanyie, fanya kwa nafasi yako na yeye afanye kwa nafasi yake
Mimi sijaona tatzo kwa anachokifanya Zumaridi ko sihitaji kufanya chochote zaidi ya kutamani aendelee kuwapenda watoto na kuwasaidia mahitaji yao
 
Niseme tuu
Pongezi kwa serikali makini ya Rais Samia Suluhu Hasan
Watoto wetu ndio urithi wetu
Mungu ibariki Tanzania
 
Huyu Zumaridi na unabii wake wa uongo...

Wazazi nao wajifunze kujua mtumishi wa Mungu na ambaye sio mtumishi wa Mungu...

Sio kukurupuka na hapa namaanisha wanawake wawe makini...
 
Zumaridi anawafundisha watoto kwamba yeye ni mungu, yeye ndie msaada na ndie anayewakinga na mauti, anasema yeye ni mtawala wa dunia mzima na anayetawala vitu vyote vya duniani na mbinguni tena wake kuna uzima wa milele.

View attachment 2679921

Halafu anawaambia watoto leo atawapikia tena wali[emoji41][emoji41][emoji41]

Inatisha, inasikistisha..... huyu heri angebakigi kulekule jela
Alichokosea nini hapo, wewe inayemwamini mungu ulishawahi kumwona

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Huyu Zumaridi na unabii wake wa uongo...

Wazazi nao wajifunze kujua mtumishi wa Mungu na ambaye sio mtumishi wa Mungu...

Sio kukurupuka na hapa namaanisha wanawake wawe makini...

Umesema vyema Donatila🙏
 
Back
Top Bottom