PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Halafu anawafundisha kuishangilia Simba.Zumaridi anawafundisha watoto kwamba yeye ni mungu, yeye ndie msaada na ndie anayewakinga na mauti, anasema yeye ni mtawala wa dunia mzima na anayetawala vitu vyote vya duniani na mbinguni tena wake kuna uzima wa milele.
View attachment 2679921
Halafu anawaambia watoto leo atawapikia tena wali😎😎😎
Inatisha, inasikistisha..... huyu heri angebakigi kulekule jela