Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,539
- 11,419
Ukiiangalia hii barua, inazua maswali ya uelewa wa wasomi wetu. Imani ni nini? Ni kuwa na mategemeo katika mambo usiyoyajua, usiyoyaona. Je Imani kama Imani sio mambo ya kufikirika?Hii Taarifa ya TCRA ni taarifa nzuri na inayotoa katazo Kali Kwa wamiliki wa VYOMBO VYA HABARI KUTOA TAARIFA za kufikirika.
Kweli chombo Cha habari kinatoa taarifa ' eti Mtu kaenda Mbinguni kakuta Kuna Magorofa Marefu kama minara' haya mambo tukiyachekea Sasa madhara yake makubwa Kwa vizazi vyetu vitakuwa havina Hofu na Mungu.. Nakuona Mungu kama mshikaji wake tu.
Hongereni sana TCRA Kwa taarifa yenu nzuri Kwa Umma
View attachment 2560940
Ikitokea sheikh au kasisi anarekodiwa akitoa mawaidha mubashara na akaongea kama haya tcra inayojaribu kuyapiga vita, chombo cha habari kifanye nini?
Katiba inatoa haki kwa MTz kuhabarishwa, kutoa maoni yake pia. Hili katazo lao linasimamia upande gani?