Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Habari za asubuhi, Samahani mimi ni mgeni humu japokuwa nimekuwa mfuatiliaji wa habari mbalimbali za JamiiForums. nimeamua kuwa mwanafamilia ili na mimi niwe nachangia hoja, Leo nitaomba...
2 Reactions
15 Replies
216 Views
Wakuu niombeeni nimechaguliwa kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu...
92 Reactions
301 Replies
9K Views
Salaam, Shalom!! Yapo majiji mazuri duniani Hilo halipingiki, Lakini, Pana Jiji liitwalo Jerusalem, Jerusalem ni Jiji pekee ambalo lipo duniani na Mbinguni. Na hayupo na hatokuwepo atakayeingia...
7 Reactions
41 Replies
1K Views
Ikiwa ni siku chache baada ya kuripotiwa kutoweka kwa Kijana Deusdedith Soka ambaye ni Mwanachama wa Chadema mkazi wa Temeke Dar es Salaam pamoja na wenzake wawili, Wakili Paul Kisabo amefungua...
11 Reactions
27 Replies
1K Views
Kama kuna abiria aliyetoka na treni ya saa kumi namoja jioni kwenda Moro kashafika na kaoga kapumzika huwezi amini hapa kivukoni watu wapo tokea saa 10 hamna magari Yaani abiria wa Moro kafika na...
20 Reactions
85 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limesema litaendelea kujikita katika kubaini na kuzuia uhalifu kabla haujatokea katika jamii pamoja na kupunguza matumizi ya nguvu kwa mujibu wa sheria. Hayo...
4 Reactions
12 Replies
459 Views
Hakuna haja ya kuongeza neno, Taarifa yake hii hapa. --- Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura amesema jeshi hilo halihusiki na matukio yanayodaiwa kuwa ni ya utekaji, kwani...
4 Reactions
61 Replies
12K Views
Nimeona baadhi ya wadau wakitoa maoni ati Kwa Hapa nyumbani TANZANIA hukumu ya kunyongwa hadi kufa Huwa haipo. Kwamba ipo kwenye makaratasi ya hukumu tu Wanasiasa wanawadanganya ati hawawezi...
27 Reactions
98 Replies
3K Views
Ofisi za TRA Temeke zote ni jipu la kutumbuka kabisa ninafatilia kuchange tin number location kutoka Temeke kwenda Ilala huu sasa ni mwezi wa tatu tangu tarehe 19/12/2025 mpaka sasa sijapata...
0 Reactions
9 Replies
371 Views
Wadau wa JF, heshima mbele! Tunapita mitaani, tunaona nyuso zenye tabasamu, lakini mioyo mizito kama kokoto. Tanzania ni uwanja wa mapambano, na kila mtu ana njia yake ya kujikwamua. Wapo...
22 Reactions
40 Replies
1K Views
Nakuja dar kwa ajili ya kupambania ndoto yangu ya uigizaji, nipeni code na ushauri wenu wadau.
1 Reactions
10 Replies
147 Views
Azam energy imepanda bei, kutoka 500/- ikaja 600/- Sasa imepanda bei maradufu mpaka 800/- Je, ipi sababu ya bei kupanda? Labda kodi imeongezeka, gharama za uzalishaji zimekuwa kubwa, kiburi na...
6 Reactions
27 Replies
788 Views
Kupata kazi kwenye meli za kitalii inaweza kuwa fursa nzuri kwa wale wanaopenda kusafiri na kufanya kazi katika mazingira ya kimataifa. Ili kufanikiwa kupata kazi kwenye meli za kitalii, unaweza...
3 Reactions
17 Replies
387 Views
Katika msitu mnene, ulikuwa ukikusanya miti kwa ajili ya kujenga makazi yako. Jua lilikuwa linachoma kwa nguvu, na baada ya siku ndefu ya kazi, mwili wako ulianza kuchoka. Ukajikunyata chini ya...
7 Reactions
86 Replies
1K Views
Nimekuwa ni mtu mwema sana kwa mke wangu na matokeo yake ni kama nimekuwa ni kero kwa wasichana /wanawake wengi. Wengi unawaambia nimeoa wanaheshimu mahusiano yaani hakuna wa kunisumbia ikifika...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwa miaka miaka 2000 tangu Yesu Kristo arudi mbiguni hapakutokea mtu aliejiita chief prophet hadi ilipofika miaka 2010 ghafla kila mtu akaanza kujiita hivyo. So nimegundua hawa watu are...
1 Reactions
2 Replies
108 Views
Kufunga ni Ibada ambao Mungu anakuwa karibu kujibu ombi na dua za mja wake Kufunga ni kujinyima Kufunga ni kutoa sadaka sana Kwa wahitaji Kufunga ni Siri kati ya anae funga na Muumba Kujitangaza...
2 Reactions
4 Replies
131 Views
Ingefaa TAKUKURU kama taasisi ya umma. Kutangaza hadharani ni kesi ngapi mpaka sasa wameshinda huko Mahakamani? Pia kuna ugumu mkawa na social media account watu wafichue maovu kwa kuwatumia...
2 Reactions
5 Replies
193 Views
Afisa elimu wilaya Sikonge msingi mkoani Tabora ni kiongozi ambae haeleweki kwani maagizo mengi ya serikali amekuwa akiyakaidi huku akijigamba kwamba hakuna atakayeweza kumgusa. Nitaaainisha...
5 Reactions
58 Replies
3K Views
Wadau wa JF, heshima mbele! Leo naendelea na mwendelezo wa "Acha Nikusanue, Mwana JF." Hili si somo la darasani, wala si hadithi ya kubuni. Ni ukweli usiochorwa kwenye magazeti, ni maneno...
6 Reactions
9 Replies
298 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…