Microsoft is shutting down Skype, the internet-based phone and video service that was once the dominant way of staying connected in the mid 2000s.
Skype will “no longer be available” to use...
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam leo February 26,2025 imemhukumu kunyongwa hadi kufa Mfanyabiashara Khamis Luwonga (38) kwa kumuua Mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia...
Hio ndio asili ya mwanadamu.
Mipaka imeundwa kwa mapigano.
Mamlaka zimeundwa kwa nguvu.
Jamii zime-survive kwa kujilinda kivita.
Umashuhuri wa jamhuri umeundwa kwa ushindi dhidi ya mnyonge.
Ila...
Kufunga kidini ni kunyongomyesha mwili Ili kukua na kupata nguvu kiroho ila hili la kufunga
WAKRISTO wa madhehebu ya kokole wapo vizuri mno kuliko waislam WAKRISTO hao Note: wasio Romans hufunga...
Imenishangaza sana, nadhani sababu ya kuwatenga wanawake na wanaume ni faragha.
Sasa kama vidume wanakaa sehemu za wanawake kuna maana gani?
Inashangaza!
UJASUSI; USIWAAMBIE WATU NDOTO/MALENGO YAKO. FUTURE NI SIRI NA NDOTO INAPASWA KUWA SIRI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Hakuna anayeijua Kesho. Hiyo ndio Kanuni namba Moja ya UJASUSI. Kama...
Watu wengi wanahangaika usiku na mchana kutafuta raha na starehe za dunia hii, ambazo ni za muda mfupi, lakini hawajishughulishi kuhakikisha wanayo “tiketi” ya kuingia mbinguni kwenye raha na...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuelezea changamoto zinazojitokeza kwenye mchakato wa Wananchi kujiandikisha kwa ajili ya kupata Vitambulisho vya Taifa (NIDA) katika Wilaya ya Uyui, Mkoani...
Hizi siku tatiu
NImEKUWA na shida sana na mtandao WA max yas
Imefika wakati UNANUNUA luku token za. Tanesco huzion
Unapiga OFISIN mfanyakazi anawaza kupokea simu 10 mins kama ANAPOKEA condom...
Tukubaliane na hali halisi, walimu wanaosubiri ajira mtaani ni wengi mno, na ambao wako mbioni kuhitimu na ni wengi, maelfu kwa maelfu, ukijumlisha na walio mtaani wanaweza kufika makumi ya...
Kuna ajali mbaya sana imetokea mlima Sekenke muda huu na watu 4 amefariki dunia.Ajali hiyo ilitokea wakati gari la mafuta kufeli breki na kuingia darajani na kulipuka moto.
Ni ajali mbaya sana...
WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, amemteua Tido Mhando kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Wanahabari.
Kwa mujibu wa Taarifa ya Kaimu Mkuu wa Kitengo cha...
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari Bw. Patrick Kipangula akitoa neno mbele ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Watatu...
Nimeona kuna mama aliweka huko hela za ada za watoto wake, sasa hivi ndoa yake iko rehani. Jamani kweli tuna ujinga kiasi hiki?
Aliye na story za watu walipoteza hela zao LBL, azilete hapa ili...
Hapo vip!
Kwanza nianze kwa kumpa pole huyu mwananchi kwasababu viongozi wengi sana wa kiafrika ni watu wanaopenda rushwa,kuabudiwa,kunyenyekewa na kutukunza ila haya yote ni kwasababu ya...
Ng'wanakapolo tafsiri yake ni mtoto wa Kapolo. Kapolo ni muhogo usio na uchangu, muhogo mtamu.
Miaka ya 1970s hadi 2000 jina hilo lilivuma sana kwenye mji wa Magu uliopo mkoani Mwanza.
Hata kama...
Habari za wakati huu wadau wa JamiiForums,
Kama ilivyo ada, hapa tunapiga darubini mambo mazito kwa jicho la tatu. Leo tunagusa mada nyeti—Deep State—hali halisi ambayo si wengi wanathubutu...