Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Habari ya asubuhi wanabodi kijana wangu anahangaika kuomba ajira katika jeshi la zimamoto na uokoaji ila cha ajabu portal yao inasumbua inakataa taarifa inaandika processing tu kwa aliefanukiwa...
1 Reactions
8 Replies
813 Views
Nimeona hii qoute ya habari Kwa upande wake Mkurugenzi wa Nishati Jadidifu na Teknolojia Mbadala akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mha. Advera mwijage amesema mitungi ya gesi...
0 Reactions
2 Replies
136 Views
Mara nyingi Mchungaji Mgogo anaonekana kwenye clips akisema " Mimi sifanyi injili ya kitapeli kukwambia nikuombee utapata gari blah blah blah" Baba Mchungaji Wacha kuzunguka mbuyu, wewe sema tu...
6 Reactions
42 Replies
1K Views
Sifahamu kama serikali ya Samia inathamini wananchi wa mikoa hii miwili katika suala la kupata habari kutoka chombo cha umma ambacho kodi zao zinachangia kukiendesha. Usikivu wa TBC ni wa hovyo...
2 Reactions
11 Replies
252 Views
Katika documentation ya maisha yake, inasemaakana huyu simba aliua fisi karibia 400 na Madume wa simba 130. Alijulikana kwa ujasiri wake na nguvu kubwa ya kupigania ngome yake kwa muda mrefu sana...
4 Reactions
3 Replies
235 Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
Mfano, mdada anauza duka au anatoa service yoyote, ikatokea nikammpenda au kumtamani kingono Sasa, nikamtongoza na akanikataa, asee Huwa nasitisha kwenda dukani kwake kupata huduma, Hilo duka na...
5 Reactions
9 Replies
229 Views
  • Redirect
7 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
4 Reactions
Replies
Views
Mimi ni Mtumishi wa Umma, ninahofu na usalama wa Taarifa zangu binafsi na za Utumishi kutumiwa na watu wasio sahihi. Jumamne ya tarehe 3/12/2024 mtu mmoja mwenye namba 0768***684 ambaye baadaye...
2 Reactions
8 Replies
948 Views
Daniel Edigar Mkinga, Katibu NETO "Viongozi wetu wa Serikali, kutokana na uhalisia wa wahitimu na changamoto zinazoonekana katika zoezi la usaili kwa kada ya ualimu, tunapendekeza yafuatayo...
5 Reactions
49 Replies
3K Views
Hamis akiwa Segerea ameandila Kitabu Kuhusu tukio lake la mauaji ya Mke wake na anatamani Kila Mwanaume akisome hiko Kitabu. 1.Hamis baada ya Mke wake kukata Roho pale kwenye Ngazi majira ya Saa...
19 Reactions
142 Replies
8K Views
https://youtu.be/9ebMOVI87h0?si=sJm0h1XJPQDVVuaQ Jana nimetumiwa hiyo link na rafiki zangu ambao sio watanzania wakishtushwa na kukasirishwa na huyo mzungu akiwadhalilisha Watanzania hasa...
15 Reactions
151 Replies
4K Views
Kesi ya Zombe ni moja ya kesi maarufu za mauaji nchini Tanzania. Inamhusisha aliyekuwa Afisa wa Polisi, Abdallah Zombe, na maafisa wengine wa polisi waliotuhumiwa kuhusika na mauaji ya...
7 Reactions
61 Replies
2K Views
  • Redirect
Wengi wao wana ufaulu wa chini mno, huku wengine wakiwa wamefeli kabisaa kufikia viwango vinavyoendana na mahitaji ya ufaulu katika kada ya ualimu. Hawana sifa, vigezo wala viwango vya...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mashoga wengi ni wazee wa gym. Wana muonekano ule ambao wadada wa mjini hupagawa nao. Vifua hivyo, mkono umejaa nyama na misuli. Unfortunately kumbe upinde. Je, mashoga ndio wanapenda gym au gym...
2 Reactions
Replies
Views
Ukipita Kinondoni, Sinza, Tabata na viwanja mbalimbali utagundua kwamba mashoga sasa ndiyo hao wavulana wanaoshinda gym wakibeba vyuma na kujenga miili. Hali hii sina uhakika, ila nadhani...
17 Reactions
94 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…