💼MHADHARA WA 7
Wakati mwingine ndoto tunazoota usiku wakati wa kulala zinatokana na uchovu, mawazo, n.k. Lakini ndoto zifuatazo zinakuwa ni ndoto zinazoeleza matokeo ya kweli yanayotarajia...
Kuna huyu kijana alipost anatafuta kazi, nikamtafuta akadai ana nauli pungufu.
Tukakubaliana nimtumie nusu nauli. Nilimtumia lakini siku ya kuja akawa amezima simu na kufuta picha aizonitumia...
Takribani wiki mbili sasa malori yamekuwa yakifunga njia ya kuingia kigamboni.
Hii inaonekana taratibu za malori kuingia na kutoka bandarini hazisimamiwi ipasavyo.
Usumbufu wa watumiaji wengine...
Saa 12 asubuhi, mtu kashuka kitandani, hajafikiria maji wala sabuni, lakini tayari yuko kwenye daladala. Jamani, unajua ananuka kama amegaragara na mwanamke halafu akaamua kwenda moja kwa moja...
Mimi Kama rais wa chama Cha ma jobless pro max, nime ona nitoe angalizo Kwa wanachama wote walio ma jobless.
lengo la kutoa angalizo ni kueleweshana mambo kadhaa, ili tuweze kujua ni mambo gani...
Watu Wanatembea na Laana Mwilini bila Kujua
Laana ni Nini
Laana ni bahati mbaya au maneno mabaya ya maapizo yanayotamkwa kumuelekea mtu fulani yeye mwenyewe au kitu fulani kinachomuhusu, kwa...
Awali ya yote kwa moyo wa dhati tunamtakia kupona kwa haraka baba mtakatifu Fransisco na kujerejea katika utumishi wake wa kanisa kama mchungaji mkuu .
Sote tunatambua jitihada hazishindi kudra...
Baada ya kuachiwa huru leo, Dkt. Slaa ametangaza kuwa yuko tayari kurejea CHADEMA na kufanya kazi bila kuchoka kusukuma mabadiliko nchini mwetu.
Pia, Soma: Dkt. Willibrod Slaa aachiwa huru, DPP...
Hata mlete watoto 1000 kutoka bonyokwa wanaopiga ung'eng'e kama wa Scotland, siwezi mtoa mtoto English Elementary eti nipeleke Kayumba
Hao wenyewe waliomuandaa afike pale apige kiingereza mbele...
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi amewaeleza wananchi kufanya kazi na kushirikiana na serikali na kuongeza kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alipomteua alimuagiza asimamie haki za wananchi...
Watafiti wanasema huenda Japan likawa taifa la kwanza kupotea duniani kutokana na watu wake kuacha kabisa kuzaliana.
Swali la msingi: Ni kwa nini taifa au watu wanavyozidi kuwa matajiri ndivyo...
Juzi hapa kakamatwa kijana aliejifanya kuwa ni officer wa jeshi la JWTZ umri maika 24 kuna vitu JWTZ wanatakiwa kubadilisha cha kwanza vitamburisho
Vitambulisho vinavyotumiwa na wanajeshi wa JWTZ...
Nimemsikia mwenyewe (tena kupitia TBC1 Taarifa ya Habari ya Saa Mbili usiku huu) huyo Msichana akisema kuwa kwa 95% hicho Kiingereza ambacho CCM na Mwenyekiti wake Taifa pamoja na Chawa Gegedu...