Neno dunia limetajwa mara 115.
Neno kiama/akhira pia limetajwa 115
Neno pepo limetajwa 77
Neno jahanamu pia limetajwa mara77.
Neno malaika limetajwa mara 88
Neno shaitwani limetajwa mara 88
Neno...
USISAIDIE MASIKINI; ACHA WAFE
Na, Robert Heriel
Umasikini ni laana. Huwezi kuwa masikini kama hujalaaniwa. Ukiona wewe ni masikini jua tayari unalaana, ukiona ukoo wenu ni masikini jua koo yenu...
U hali gani Mtanzania!
Napenda kutoa wazo kuhusu huduma ya Usafiri hasa Mabasi yaendayo Mikoani na Daladala zinazotoa huduma ndani ya Mikoa katika usafirishaji.
1. Napendekeza wafanyabiashara...
Baada ya Mahakama ya Hakimu ya Hakimu Mkazi Kisutu kumuachilia huru Dk. wilbord Slaa baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP kueleza kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo.
Wakili wa Dk...
Mtumishi mwenye Mkataba namba Na. SMC/CW/PF.113/3 amefika Ofisini kwetu na ameomba tupaze sauti kwa niaba yake. Hii hapa historia fupi ya malalamiko yake.
Wakati wa zoezi la uhakiki wa Watumishi...
Wanabodi,
Nawasalimu kwa jina la JF.
Angalizo la uchangiaji, hili ni moja ya mabandiko yangu ya kuwaanda Watanzani kisaikolojia kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu, nakushauri, ukiusoma uzi huu...
Walter Hunt: Mvumbuzi Nyuma ya Pini
Walter Hunt alikuwa mvumbuzi wa Kimarekani anayejulikana sana kwa kuunda pini mwaka wa 1849. Aliitengeneza kama njia ya kulipa deni la $15 haraka. Pini hiyo...
Kwa zaidi ya miongo mitatu, mjadala wa Katiba mpya umekuwa gumzo kuu katika siasa za Tanzania, huku wanasiasa kama Tundu Lissu wakijaribu kuwashawishi wananchi kuwa bila Katiba mpya, maendeleo...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda amemtembelea Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abass ofisini kwake na kufanya mazungumzo na Kamati ya Ulinzi na Usalama Leo tarehe 27...
Habari wanajukwaa,
Nimekua mtumiaji wa mtandao wa YAS (Tigo) kwa miaka sasa. Ila mtandao huu umejaa janja janja sana.
Wakati wanahama kutoka jina la Tigo kwenda YAS mtandao huu ulijitabainisha...
Nasisitiza kwa Mara nyingine tena, sikubaliani na fundisho la kwenye Bible na Qur'aan kwamba Mungu alimuumba mwanadamu ili amuabudu.
Sababu zangu kuu ni mbili:
1. Hakuna uthibitisho wala dalili...
Wanafunzi katika Shule ya Sekondari Nyang’hwale iliyopo wilayani humo Mkoani Geita wamekabidhiwa Runinga pamoja na Kisimbuzi kwa ajili ya kufatilia maendeleo ya Miradi inayotekelezwa na Serikali...
Nimemsikia shehe wa DSM sheikh Walid akisema Mtume Muhammad SAW ndiye Mtume wa mwisho wa Mwenyezi Mungu
Swali:
Hawa akina Mtume Mwamposa na wenzake ambao sheikh mstaafu wa mkoa wa DSM Alhad Musa...
Hata mfalme sulemani hakuandika kitabu cha Mithali na Wala si kwamba alikuwa na hekima kuliko wote.
Bali vitabu vya Mithali viliandikwa na wanandishi wengine wa Kiyahudi ambapo zama za mfalme...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam) inafanya ununuzi wa pampu nne zinazogharimu shilingi bilioni 13 kusaidia uzalishaji maji katika mtambo wa kuzalisha maji wa Ruvu Juu uliopo...
By
Æfrica Macka Bara
------------------------------------------
Katika ulimwengu wa michezo ya kamari, kuna msemo maarufu usemao, "The house always wins", yaani "mara zote nyumba hushinda." Hili...
UMOJA WA VIJANA WASIOKUWA NA AJIRA TANZANIA"Unemployed Youth Allied Movement" -UYAM TANZANIA Unawatangazia Watanzania kuwa tutakuwa na na mkutano na waandishi wa habari tarehe 2/3/20225...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara kimetangaza msimamo wake wa kutoshiriki uchaguzi hadi pale masuala kadhaa yahusuyo haki na usawa wa uchaguzi yatakapotatuliwa.
Akizungumza...