Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Yani ukinambia unawafanyia interview walimu ndo uwaajiri binafsi naona haijakaa sawa. MWALIMU siyo sawa na mtu wa kada zingine kama afya, tra, procurement na kada zingine. MWALIMU anakaa na...
19 Reactions
85 Replies
2K Views
https://youtu.be/UTLrEFErVaw Raisi was Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amempongeza Mzimbambwe Maxwell Chikumbutso kwa uvumbuzi wa gari “Saith Vehicle” inayoendeshwa kwa nguvu za mawimbi ya radio( radi...
18 Reactions
154 Replies
5K Views
Kuna mzigo wa kontena za 40ft kwenda lubumbashi . Na return trip ni copper Nahitaji gari 20 Mawasiliano 0692595127
0 Reactions
2 Replies
97 Views
Note; Mwanamke mheshimu sana huyo mwanaume Umeolewa naye,haijalishi yeye ni Nani. Kuwa mnyenyekevu na acha kuonesha kwamba unajua Kila kitu. Asilimia 90 ya wanawake wanaojua haki zao hawapo...
12 Reactions
18 Replies
464 Views
Kuelekea mapinduzi ya Teknolojia, mambo mengi nchini yameanza kufanyika kwa kutumia NIDA. Kwenye mifumo ya kusajili biashara, kuomba ajira, kuomba mikopo, kujisajili huduma za kiserikali...
1 Reactions
5 Replies
134 Views
Zingatia hapa tairi mbovu yaani ilishatumika, ikachakaa ama ikaharibika hivyo haifai kutumika tena kwenye magari Hii ni fursa ambayo itawafaa sana vijana wetu wa JF wanaosaka ajira Tairi moja...
54 Reactions
138 Replies
6K Views
Unaweza kusema labda kwa vile mtu umepambana umetajirika basi utakuwa mbali na kero za serikali kumbe tabu iko palepale Unakimbia kero ya kupanda mwendokasi kwa kununua magari binafsi lakini...
26 Reactions
43 Replies
2K Views
Unaanza kukumbaka mara ya mwisho kijiweni uliongea nini controversial, JF ulipost nini controversial, kitu gani umenunua kutoka kwa mtu labda ni cha wizi, 😂
1 Reactions
0 Replies
91 Views
  • Redirect
IMETOSHA! WANANCHI WA BUMBULI TUNAKATAA JINA LA JANUARY MAKAMBA Kwa miaka 15 sasa, wananchi wa Jimbo la Bumbuli tumekuwa tukihadaiwa na ahadi zisizotekelezeka. Tumeshuhudia mbunge wa msimu...
0 Reactions
Replies
Views
Meya wa Jiji la Arusha, Maxmillian Matle Iranqhe, amesema Halmashauri ya Jiji hilo imetenga zaidi ya shilingi bilioni 4 kwa mwaka wa fedha 2025 kwa ajili ya kuboresha miundombinu, ikiwemo ununuzi...
0 Reactions
0 Replies
78 Views
Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kilimanjaro kupitia Katibu wake, Ndugu Mercy Mollel amempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha Dkt. Haji Mnasi kwa kusimamia miradi ya maendeleo huku...
0 Reactions
2 Replies
87 Views
MwanaCCM na MwanaJF Thadei Ole Mushi amefariki dunia. Ole Mushi alikuwa anaugua kwa muda mrefu. Thadei amefariki duniani asubuhi hii katika hospitali ya moyo JKCI, Muhimbili. Mwenyezi Mungu...
38 Reactions
303 Replies
37K Views
Anajidai kwamba amelijua jina lake bila kuambiwa, lakini anapomuuliza anamuumbua kwamba walishakutana kabla na akampanga nini cha kuongea mida ya asubuhi kabla ya misa, AIBU, AIBU, UTAPELI!! Ona...
30 Reactions
552 Replies
112K Views
Dah inasikitisha sana sanaa Leoo nimekumbuka mbali sana sana Mwaka 2017. KUNA mzee MMOJA Arusha alimkatalia Binti yake kuolewa na mfanyabiashara MMOJA Baadae Binti akapata mimba akaenda...
3 Reactions
18 Replies
644 Views
Kwa muda mfupi, ulimwengu ulitumaini. Ubaguzi wa rangi ulikuwa umekwisha. Afrika Kusini ilikuwa huru. Historia ndefu ya nchi hiyo ilijikita katika mifumo miwili iliyoshindana—moja ya wazungu...
7 Reactions
123 Replies
2K Views
  • Redirect
Mahakama ya Hakimu ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachilia huru Dk. wilbord Slaa baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP kueleza kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo. Shauri Na.993 la mwaka...
0 Reactions
Replies
Views
Mtanzania ateuliwa kuwa Mkuu wa Shirika la Ujasusi la FBI nchini Marekani. Hii ni hatua ya uundaji wa serikali wa utawala mpya wa Rais Trump. Kash Patel amezaliwa Marekani lakini Baba yake ni...
34 Reactions
129 Replies
3K Views
Huu muunganiko ulioanza leo baina ya huu umoja wa makampuni ya ulinzi na hawa vijana wa NETO hakika unatia shaka na uzingatiwe. Naona kasi ya mahusiano yao imekuwa kubwa na hasa ukizingatia ya...
4 Reactions
6 Replies
258 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…