Askofu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe, Askofu Benson Bagonza achukizwa na kamata kamatwa inayofanywa na Jeshi la Polisi kwa Viongozi wa Walimu wasio na ajira ambao wamejitokeza kuikumbusha...
“Walimu semeni shida zenu na wakati wote msijione duni, oneni namna Serikali inavyoweza kutatua changamoto zenu. Nataka niwakumbushe Watanzania kuwa ninyi ni nguzo ya taifa letu, zoezi hili...
Ninachojiuliza ni kwamba hawakujua au hawakufanya Survey ya eneo kabla ya kuweka Jukwaa
—————————————
Tuzo za Trace kwa wasanii wa Afrika zilizofanyika usiku wa kuamkia leo Visiwani Zanzibar...
Ada tuweke 1.5 m
Uniforms, usafiri na vikorokoro vingine tuweke 1ml . Jumla milioni 2.5, mara 4 ni milioni 10. Hiyo ni minimum.
Hapo hatujagusa hizi International schools ambapo kwa miaka 4...
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Wakala ya Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Advera Mwijage amesema kuwa Mkoa wa Tanga unatekeleza miradi minne ya kusambaza umeme katika vijiji, miji, vituo vya afya, pampu...
Wakuu,
Licha ya kuwa asilimia kubwa ya watu wameacha tamaduni na mila zao za asili kwa utetezi kwamba zimepitwa na wakati.
Lakini kuna msemo wa wahenga unasema mtu haachi asili yake,hata wewe...
MAMBO MAKUU UNAYOTAKIWA KUFANYA PALE UNAPOHISI KUTENGWA NA WAZAZI, NDUGU NA MARAFIKI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Vijana wengi wamejikuta katika hatua ngumu na Mbaya katika maisha yao baada...
So I came to realize that it is all about time.
Knowing
1. Where to put time
2. Where to take time
3. Where to time
4 where to be on time
5. Knowing the time
6. What will be on those time
You...
Ismail Jussa, makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zanzibar aneleza kuwa licha ya kuwepo kwa muwekezaji katika bandari ya Malindi lakini bado kuna changamoto katika kushusha mizizgo ambapo meli...
Wakuu,
Awali ya yote nitakachokiandika hapa naomba kieleweke kwa Jicho la tatu sio Jicho la kawaida.
Mwaka 2025 ndio mwaka ambao wanaume wengi hususani vijana watakatisha uhai wao kwa wingi...
Habari wana JamiiForums!
Nimekuwa msomaji wa muda mrefu humu, lakini leo nimeona ni bora nishiriki moja ya matukio ya kutisha zaidi kuwahi kunikuta maishani mwangu. Najua kuna watu wengi...
Bodi ya wakurugenzi pamoja na Menejimenti ya mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira katika manispaa ya Mpanda wamefika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro kwa lengo la kujifunza mbinu Bora za...
1. Iweke mikakati ya haraka sana ya kuwapa mafunzo ya miaka miwili pindi tu wanapomaliza masomo yao na iwalipe robo tatu ya scale yao ya mishahara.
2. Serikali itoe mikopo ya zana za kilimo...
https://www.youtube.com/watch?v=VJmfnduWSJk
The Chanzo imefanya mazungumzo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa juu ya masuala mtambuka ikiwemo suala la Serikali kuaminika kwenye taarifa...
Miaka ya nyumba wazazi wetu wakilipa Kodi ya kichwa ilikuwa elfu 5 tu.
Napendekeza Kodi ya kichwa iwe elfu 50 Kwa mwaka. Kila mwanaume na mwanamke mwenye umri wa miaka 18 ambaye sio Mzee au...
Wakuu
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa anaendelea na ziara yake mkoani Tanga. Asubuhi ya leo Alhamisi, Februari 27, 2025 ameandika katika kurasa zake za kijamii:
“Chai na vitumbua...