Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Kadri miaka inavyoenda ndivyo ongezeko la wanafunzi linavyozidi kwenye shule za msingi, sekondari, vyuo, na vyuo vikuu. Na ufaulu pia unaongezeka hadi kufikia hatua ya wasio jua kusoma na kuandika...
3 Reactions
12 Replies
159 Views
Ina urefu wa Kilomita 12 Ina kituo kimoja cha polisi Ina sehemu moja tu ya kupata huduma za mawasiliano Ina bank moja tu Ina hotel moja tu Raia wake kwa sehemu kubwa wanafahamiana wote Airport...
6 Reactions
35 Replies
1K Views
Shule ya Msingi ya Green Acres iliyopo maeneo ya Mbezi Beach Africana, Dar es Salaam kuna matukio ya ukatili yameripotiwa kutokea, naomba kutumia jukwaa hili kupaza sauti ili haki ipatikane...
8 Reactions
49 Replies
4K Views
Nitashukuru mno kwani nimejaribu kwa Kuhangaika kuitafuta sijaiona hivyo pengine Lucas Mwashambwa au ChoiceVariable wanaweza kuwa nayo.
2 Reactions
18 Replies
301 Views
FERRE GOLA: https://youtu.be/lmMoO456gXw?si=1FxvRZ5BF_2wg4nw https://youtu.be/jUc80c6IpqI?si=rYF94acrDLLggmhe https://youtu.be/M4Eho6jM_3A?si=5ZUeljiagHvM-waj...
1 Reactions
7 Replies
185 Views
Wakuu unaposoma tu weweunadhani lilikuwa jambo rahisi sana .........soma kwanza Mwanzo 22:1Ikawa baada ya mambo hayo Mungu alimjaribu Ibrahimu, akamwambia, Ee Ibrahimu! Naye akasema, Mimi hapa. 2...
2 Reactions
13 Replies
299 Views
Mtuhumiwa namba moja wa kesi ya mauaji ya kikatili ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Asimwe Novat aliyekuwa na umri wa miaka miwili na nusu, Padri Elipidius Alfred Rwegoshora, ambaye ni miongoni...
0 Reactions
3 Replies
287 Views
Mheshimiwa moderator naomba Uzi huu uache ujitegemee wenyewe tafadhali Wadau na wapendwa wote ndani ya jukwaa letu huru kabisa nawasalimu nyote Niwakumbushe kuwa kwa mujibu wa maandiko...
4 Reactions
32 Replies
455 Views
Shule ya msingi Mlembea iliyopo wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro ina jumla ya wanafunzi 62 tu shule nzima. Idadi ya wanafunzi kuanzia la kwanza hadi la saba idadi yao ni 62 pekee. Ambapo...
0 Reactions
19 Replies
696 Views
"Kama unataka mtoto unaweza kukaa siku 14 wewe na mwenza wako bila kukutana na huwa unatakiwa kuanza kuhesabu siku ya kwanza ambayo mke wako ataanza mzunguko wake wa mwezi huku wewe Baba...
11 Reactions
34 Replies
853 Views
Habari za jumapili wananzengo Moja Kwa Moja niende kwenye mada Ni hivi nimekua na tatizo la kuchukiwa kazini hii Sasa ninayofanya ni kazi yangu ya nne lakini Kila ninapofanya kazi wafanyakazi...
11 Reactions
133 Replies
4K Views
Najua asilimia kubwa wakati tunasoma tulikuwa hatuwapendi walimu wa mathematics. Tuingie kwenye story. Basi bwana mnamo mwaka 2007 mwezi wa kumi na mbili nikawa nimeenda kuchukua cheti pale...
19 Reactions
56 Replies
2K Views
Nimesikitishwa kupata habari kuhusu mwalimu anayefundisha shule ya sekondari Dunda iliyopo Bagamoyo mkoa wa Pwani kukimbia kazi ya ualimu baada ya kulipwa 34000 kwa mwezi. Hii inatokana na adhabu...
34 Reactions
185 Replies
18K Views
Napenda kutoa malalamiko yangu makali na kero kuhusu kucheleweshwa kwa malipo ya fidia kwa ardhi tuliyotoa KIPUNGUNI kwa ajili ya upanuzi wa uwanja wa ndege wa serikali. Taarifa ya tathmini ya...
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Ni ndoto za mchana kutegemea kua millionior kwa kutegemea mshahara wa kila mwezi, mshahara ni kwa ajiri ya basics (substance) zako za kuishi, au steping stone kujiajiri haraka kabla ya kufika...
29 Reactions
131 Replies
4K Views
Moja ya Jambo ambalo sikuwahi kulielewa wakati nipo TZ ni hili! MD aliemaliza MUHAS na kwenda kufanya kazi Hospital za Wilaya , hardly kuwa na take home inayozidi laki 9 . The same MD...
18 Reactions
74 Replies
3K Views
Member mwenzetu amempoteza baba yake mzazi leo hii, hivi yupo kwenye mpango wa kwenda kwao kuhudhuria msiba. Pole mkuu, Mungu akupe uvumilivu.​
2 Reactions
134 Replies
8K Views
Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali imeiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa, baada ya kupima mkojo wa Wema Sepetu walibaini una bangi. ========= SHAHIDI wa kwanza, Mkemia Elias Mulima...
1 Reactions
160 Replies
19K Views
Mileva Marić Einstein hiyu alikuwa mke wa kwanza wa Einstein. Ushahidi unaonyesha kuwa alichangia kwa kiasi kikubwa katika nadharia ( theory ) za Einsten. Lakini hakuwahi kupewa sifa yoyote...
2 Reactions
6 Replies
153 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…