Habari wakuu,
Mimi dhehebu langu ni Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),
Kanisa letu lina utaratibu wa kufuata kalenda ya mwaka, ni jambo zuri, Lakini kuna haja ya kufanya mabadiliko...
Hapo nyuma kulikua na wimbi kubwa la nyama za waturuki wanazogawa Bure
Ingawa saivi zipo ila si kwa wingi km mwaka Jana
Sijui na nyie mmekutana na hzo habari, ktk zunguka yangu vijijini...
Wakuu , naomba muongozo ni hatua gani sahihi za kuchukua endapo mwajiri hataki kukuwekea pesa yako NSSF na tayari mmeachana vizuri.
Umri wa mwajiriwa umeshafika 60 yrs
Ila mwajiri hataki...
Either kikundi chao walifanyiana civil war wenyewe Or walikuwa hacked/infiltrated/disrupted na adui yao alietaka kuwa expose.
Sio kirahisi rahisi hivyo mashine zao kupigwa chini maana hawa jamaa...
KWA NINI MTOTO WA NJE HAPASWI KURITHI MALI ZA BABA YAKE?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mada hii wengi Watu wengi wamecharuka kîla mmoja akionyesha Hisia Zake huku Wengine wakishindwa...
- Hizi ARV zimeanza kutolewa kwenye mwaka 2003 au 2004 hapa wenye kumbukumbu sahihi mtanirekebisha. kabla ya hapo hapakuwa na dawa za kufubaza.
- Ugonjwa huu uliogopesha sana kiasi ambacho jamii...
1. Wameshamuona hana la kufanya
2. Wameshamuona ni Mbivu
3. Wameshamuona ni mpenda Raha
4. Wameshamuona anaingilika Kiurahisi
5. Wameshamuona ni Mswahili Mswahili
6. Wameshamuona ni mbea mbea...
Wagonga ulimbo tunapitia mengi sana maisha yanakuchapa, mapenzi yanakupiga za uso, familia inakutenga, marafiki wanakukimbia.
Katika harakati zangu za ugonga ulimbo baada ya kugraduate mimi na...
Ajali hii imetokea jijini Dar, karibu na Ubalozi wa Kenya usiku wa kuamkia leo.
Pole sana wafiwa na wote walioguswa na msiba hasa mabinti wauza sura wa mjini (Wadada wa mjini).
Binafsi...
Mnamo mwaka 2018, kuna kijana mstaarabu sana aliyeishia darasa la tano ambaye nilifahamiana naye kupitia mwalimu mmoja aliyekuwa amepanga nyumbani kwetu. Huyu kijana alikuwa anamletea mwalimu...
Aisee ilizoeleka kuwa wakenya huja Tanzania kununua mazao na kuyapeleka kwao Kenya ila Hali sio hvyo kwasasa.
Wakulima wa Kenya wamejipanga na kuwezeshwa Sasa wameanza kuzalisha zaidi ya uwezo...
habari wadau.
Tanzania ni mojawapo ya nchi zenye raia wengi wanao amini imani za kishirikina.
hivyo waganga wa kienyeji wapo wengi sana Tanzania. uhalisia hao waganga wote ni matapeli...
Tarehe 4 mwezi wa pili 2020 nikiwa katika msongo wa mzito wa mawazo yaliyotokana na ugumu wa maisha nilijikuta nafanya maamuzi magumu bila kutarajia. Nilikuwa nakaa gheto maeneo ya buguruni sheli...
Bwana Juma ni Dereva Taxi maeneo ya Mwananyamala kwa kopa siku moja alifuatwa na jamaa mmoja ampeleke sinza kwenye nyumba Fulani ya wageni .
Walipofika pale Yule jamaa akasema ameishiwa chaji...
Ally (25), mkazi wa Kiloleli wilayani Ilemela jijini hapa anayedaiwa kuwa na elimu ya chuo kikuu, amejirusha katika jengo la la Rocky City Mall na kufariki dunia.
Imeelezwa kuwa Musa alichukua...
Jeshi la Polisi jijini Mbeya limewakamata watu watano akiwemo Meneja wa LBL Mbeya kwa kosa la kuendesha mchezo wa upatu bila kuwa na kibali kutoka Benki Kuu ya Tanzania kama sheria zinavyoelekeza...
Katika kisa cha kushangaza nimekutana nacho baada ya kuona Post instagram inayosema wazazi wamshtaki Mwalimu wa madrasa kwa kosa la kuwachapa watoto viboko jambo lililopelekea mwalimu huyo...
Wakuu,
Kumekuwa na wimbi la watu kuweka nyuzi kuuliza kama fursa fulani ni kweli au lah, au kama zawadi anayotumiwa ni kweli anapendwa au anataka kuingizwa mjini.
Tunasikia mara kadhaa watu...