Wazawa wanaotoka katika vijiji vya Kondeni, Mawanjeni, na Mitala wilayani Moshi, mkoani Kilimanjaro, wameungana kwa pamoja na kuanzisha ujenzi wa barabara ya Samaria yenye urefu wa kilomita 1.5...
Nimeshtushwa na huu utendaji wa haraka wa kuziba viraka kwenye ichi kipande cha barabara kinachoanzia kwenye mataa ya fire mpaka kwenye mataa ya msimbazi kupitia mtaa wa swahili. Nilichokuja...
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amekabidhi mitungi ya gesi 650 iliyotolewa na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), ikiwa ni uhamasishaji wa matumizi ya nishati safi nchini.
Dkt. Mpango ni...
Taasisi ya uhamasishaji uwazi na uwajibijaki katika rasilimali za Madini, Mafuta na Gesi Asilia (TEITI) imetoa mafunzo maalum ya kuelimisha wananchi wasioona kuhusu ripoti na matumizi ya takwimu...
Pesa anayepaswa kusaidiwa ni maskini pekee.
Mtu ana range kali New model unampa pesa ili akuwekee mkono kichwani. Madness
Mtumie pesa mama yako, hakatai pesa kwakuwa ni ndogo, elfu 5, 10, 50...
"Wenye shida waliwaona manabii,mitume na Yesu Kristo mwenyewe,bila kulipia fedha inayoitwa sadaka.Na matatizo yao yalitatuliwa bila gharama yoyote.
Siyo agizo la Mungu wala mapenzi yake kuwaona...
Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) Mhandisi Joseph Nyamhanga, amezitaka Taasisi za Umma kuzingatia sheria ya ununuzi wa umma ya mwaka 2023 na kanuni zake za mwaka 2024 ambazo...
Haya magholofa ya jeshi yaliyoko Mwenge Kijijini, Dar es Salaam, yamekuwa yakipangishwa kwa raia.
Wajanja wachache wamekuwa wakijinufaisha na majengo hayo ambayo yamefanyiwa ukarabati mkubwa na...
Serikali imeagiza Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) na Benki ya TCB kuhakikisha kwamba Watanzania wanapata elimu ya kutosha kuhusu umuhimu wa kuwekeza katika soko la mitaji kwani ni muhimu...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, ameagiza kusimamishwa kazi kwa Afisa Ardhi wa Halmashauri ya Mji wa Handeni kutokana na kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Temeke limewatangazia wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho katika kituo cha kupokea, kupoza, na kusambaza umeme cha msongo wa Kilovolti 220 kilichopo...
Kamwene,
Leo nimekumbuka tu mtaani kwetu pale Mtaa wa Ramadhani - Njombe kulikua na Identical twins wa kiume, miaka ile tunacheza pamoja wala hakukua na mambo ya TV, basi ile balehe balehe ile...
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama, amekipongeza kiwanda cha kutengeneza maji tiba cha Kairuki Pharmaceuticals Industry Limited kilichoko mkoa wa Pwani.
Ametoa pongezi hizo siku ya Alhamisi Februari...
Ukifatilia familia nyingi zinaishi kwa kutegemea ndugu zao waliopo dar es Salaam.
Hivyo mipango mikakati kwa serikali kuendelea kuwekeza DSM iendelee bila kusita.
Mimi Moja ya wanafuika wa kuwa...
Huu ni Uzi maalumu kwa waislamu katika siku za ijumaa kupeana taarifa umeswali ijumaa msikiti gani, khatibu wa ijumaa alikuwa sheikh au Ustaadh gani na mada ya khutba ya ijumaa ilizungumzia nini...
Mtu katoboa kwenye familia, watu wanarundikana kumuomba pesa tena kwajili ya matumizi badala ya mitaji, kukodi mashamba, n.k. Ndio hawa virusi wanafika miaka 40 bado wanaomba pesa, ukiwanyima...
Habari wanaJF
Hapa ni Sehemu ya kupata maarifa na Elimu mbalimbali!Utakuta mtu kaja nyumbani kwako au Sehemu umekata umejipumzisha na unaongea na simu.
Mara ghafla na yeye anapokea simu na...
Katika dunia ya leo, tuna swali kubwa kuhusu watu wanavyodanganywa KIRAHISI na manabii wa uongo ambao hapahitajiki akili yoyote kubwa katika kuwatambua.
Manabii wa uongo ndio wamekuwa kirusi...
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amepiga marufuku wananchi kuwarekodi madaktari na kusambaza video au sauti mitandaoni badala yake waweze kutumia njia sahihi ya kutoa taarifa kwa uongozi...