Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Mimi ni mmoja wa Wakulima wa mahindi, kwa kawaida baada ya kuvuna Wakulima wengi huwa tunauza mazao hayo kwa Serikali kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA). Tangu Wakulima tuuze...
0 Reactions
0 Replies
358 Views
Baadhi ya walimu wa shule ya msingi waliohamishwa katika shule mbali mbali katika wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro wamesikitishwa na kauli iliyotolewa na Afisa elimu wa wilaya hiyo kuwa hata...
3 Reactions
10 Replies
635 Views
Tunaomba mtusaidie kupaza sauti, Serikali ijue madudu yanayofanyika Mpanda, watoza ushuru wanaotoza ushuru wa magari makubwa kushusha mizigo na kupakia mizigo ndani ya mji sio waaminifu. Baadhi...
1 Reactions
3 Replies
440 Views
Anonymous
1. Kumekuwa na utaratibu wa kusitishwa likizo za Watumishi wanapokuwa likizo na Afisa Mhifadhi II Fundi kwa kigezo cha uhaba wa Watumishi, pia kukataa kutoa ruhusa mbalimbali kwa Watumishi wakiwa...
1 Reactions
0 Replies
776 Views
Mimi kazi zangu zinahusisha biashara chuma, bati n.k kwa ufupi vitu vinavyoendana na material hayo, ujumbe wangu huu uwafikie wahusika wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na Wakala wa Vipimo...
5 Reactions
12 Replies
913 Views
Ujenzi Holela Ndani ya Manispaa ya Moshi Moshi imekuwa mfano wa usafi na mpangilio mzuri wa makazi katika nchi yetu. Hata hivyo, tangu mwaka 2024, hali imebadilika kutokana na usimamizi hafifu...
0 Reactions
0 Replies
212 Views
Wakuu Haya Matangazo ya viwanja "Vinauzwa na Hati" yanayosikika karibu kila kituo cha daladala hapa mjini Dar kupitia sauti kubwa kutoka kwenye spika zilizowekwa, ni kero kubwa kwa abiria na...
1 Reactions
12 Replies
365 Views
Baadhi ya maduka ya bidhaa za chakula Biharamulo ni machafu sana kiasi kwamba yamekuwa ni makazi ya panya. Wauzaji kwa makusudi pasipo kujali usalama wa walaji wanauza bidhaa zilizoliwa na panya...
0 Reactions
1 Replies
177 Views
Kitongoji cha Njoka kinapatikana katika Kijiji cha Kizuka wilaya ya Songea mkoa wa Ruvuma. Wanafunzi hawa wanakumbana na hadha kubwa sana ya kutembea takribani zaidi ya km 10 kuzifuata shule ya...
1 Reactions
1 Replies
129 Views
Nisiseme mengi ila kwa mtu mwenye uelewa mdogo tu wa ujenzi na majengo atajua kuwa yale majengo wachina walifanya uhuni sana.ukizingatia ukanda wa dodoma matetemeko ya ardhi ni kama ndio nyumbani...
3 Reactions
2 Replies
281 Views
Nasimama na maofisa wa NIDA waliopo katika maeneo mengi nchini. Madereva na wasaidizi wao wanaofanya safari kwenda nje ya nchi kupeleka mizigo wanapewa vitambulisho vya Tanzania na baadaye zile...
21 Reactions
51 Replies
3K Views
Moderators naomba msifuze au kuunganisha huu uzi. Naamini JF ni Platform kubwa na hata Rais wa nchi na viongozi wengine wanapitia humu. Naanza kwa kudeclare interest binafsi ni Mtumishi wa umma...
5 Reactions
47 Replies
3K Views
Kuna jambo ambalo naomba nifikishe hapa ujumbe ili ujumbe huu ufike kwenye Mamlaka za juu, nimeamua kufanya hivi baada ya kuona kile ambacho kimeripotiwa na yule Mwanachama mwingine wa JF kuhusu...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Sio siri viwanda ambavyo kuna Wahindi kuna unyonyaji mkubwa sana. Nabaki kushangaa jinsi ambavyo hawa Wahindi kwanza ni wageni katika nchi yetu lakini wanawanyanyasa sana watz mishahara midogo...
8 Reactions
67 Replies
1K Views
Kumekuwepo na malalamiko ya muda mrefu katika Halmashauri ya Momba kutoka kwa Walimu na wadau mbalimbali juu ya tabia na mwenendo kutoka kwa kiongozi huyu. 1. Walimu wengi wamehamishwa bila...
0 Reactions
5 Replies
405 Views
Mimi ni mkazi wa Kinondoni shamba, kata ya Kinondoni. Mwishoni mwa wiki iliyopita 23.11.2024 nilikunywa maji ya Dawasco ila kitu cha kushangaza yalikuwa na harufu kali sana ya dawa na pia kulikuwa...
0 Reactions
1 Replies
179 Views
Picha hapo chini inajieleza, jengo lipo Kariakoo, limefika ghorofa kama 13 hivi na bado naona kuna nondo zimetokeza hapo juu kuashiria kwamba floor bado zinaendelea juu. Sasa unaweza kuta michoro...
35 Reactions
240 Replies
27K Views
Kwanza nianze kwa kuwapongeza JamiiForums kwa kazi nzuri mnayofanya ya kubadilisha mwenendo wa nchi yetu, kazi kubwa inafanyika na mabadiliko yanaonekana, pongezi kwa hilo. Hivi karibuni niliona...
0 Reactions
1 Replies
553 Views
Habari zenu wakuu. Hizi taarifa za kwamba gharama za kitanda hospitali ya taifa Muhimbili kuwa ni tsh 50,000 ni za kweli au story za vijiweni, kama hizi gharama ni za kweli basi kama taifa hatupo...
19 Reactions
183 Replies
4K Views
WAKURUGENZI NA WAKUU WA IDARA (SANA SANA DMO's na DEO's) WAMEKUWA KIKWAZO KWENYE ZOEZI ZIMA LA UHAMISHO WA WATUMISHI KWA KISINGIZIO CHA KUTOKUWA ORIENTED NA MFUMO MPYA WA HUDUMA YA UHAMISHO WA...
11 Reactions
53 Replies
7K Views
Back
Top Bottom