Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Wananchi wa Vijiji vya Simambwe, Shibolya, Usoha Njiapanda, Ilembo Usafwa na Galijembe vilivyopo Kata ya Tembela, Wilaya ya Mbeya, walilazimika kuchangishwa michango kwa ajili ya ujenzi wa Kituo...
0 Reactions
1 Replies
411 Views
TAMISEMI, hapa Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni kuna madudu, tafadhali chunguzeni hawa wafanyakazi wenu. Huu ni mwaka wa 4 sasa nafuatilia malipo yangu sipati ushirikiano wowote toka kwenye...
0 Reactions
3 Replies
201 Views
Wanafanyisha kazi kwa makubaliano ya baada ya miezi minne wanapofikisha miezi hiyo wanaishia kudhulumiwa na hawana pa kulalamika. Hawa vijana ni watanzania na wanajitafutia ridhiki ili wajikimu...
3 Reactions
10 Replies
411 Views
Kwa siku za hivi karibuni kama kati yetu kuna ambao wamebahatika kwenda kwenye eneo maarufu la kibiashara Kariakoo jijini Dar es Salaam mtaungana na mimi kwamba kuna ujenzi wa majengo mengi ya...
11 Reactions
63 Replies
3K Views
Wakati nikibukua pale jalalani, ilitokea sintofahamu kwamba jengo la ghorofa la Hall Two, linainama/linatitia kwa kuelekea upande wa nyuma kwa taratibu sana. Unaweza kusoma UDSM hall 2 na 5 zenye...
16 Reactions
62 Replies
3K Views
Anonymous
HIvi karibuni katika hekaheka za kutafuta mashamba kwa ajili ya msimu ujao wa kilimo nilifika katika kijiji kimoja kinaitwa Mandimu kilichopo Kata ya Mungaa, Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida...
19 Reactions
114 Replies
5K Views
Watumiaji wa barabara iliyopo Kata ya Oldonyowasi, Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha, wamedai kuwa wakiwa wanapita na usafiri wa magari na pikipiki katika barabara hiyo wamekuwa wakitozwa shilingi...
0 Reactions
5 Replies
671 Views
Kero: Tamisemi Utumishi wameshindwa kuhamisha taarifa za mishahara ya watumishi waliohama. Watumishi wanahangaika Huko na huku bila msaada ,ikiwa mtu amepata UHAMISHO halali kwa Nini zoezi tena...
0 Reactions
0 Replies
388 Views
Hii tabia ya Askari wa Barabarani especially Mkoa wa Dar es Salaam maeneo mengi likiwemo eneo la Kamata Kariakoo, Ilala Boma na maeneo mengineyo, kutafuta vijana machawa wa kukamata Bodaboda ambao...
1 Reactions
9 Replies
692 Views
Anonymous
Wilaya ya Kasulu Vijijini, Kata ya Rungwe mpya, Vijana waliopewa jukumu la kufanya survey na wanaofunga Umeme wanatengeneza mazingira ya Rushwa Nilifanyiwa usajili wa Meter, taarifa zangu...
0 Reactions
1 Replies
309 Views
Wanajamvi Kata ya Uyui inapatikana kwenye Manispaa na Mkoa wa Tabora ambapo maajabu ya kata hiyo imekuwa ikikosa huduma muhimu kama Shule ya Kata, Zahanati, barabara pamoja na umeme kwa muda mrefu...
2 Reactions
7 Replies
606 Views
Halmashauri ya Babati mji iliyoko wilayani Babati mkoani Manyara ni moja ya halmashauri zinazoendelea na tukio la ufanyikaji wa mtihani wa taifa kidato cha 4 huku wasimamizi wakiwa ni moja ya...
1 Reactions
14 Replies
703 Views
Mimi ni Mkazi wa Arusha, nimekuwa Mdau wa muda mrefu wa platform yetu hii ya JamiiForums kwa muda mrefu, kero yangu mimi ni kuhusu Daladala kukatisha ruti na kuongeza nauli kinyume cha Sheria...
0 Reactions
3 Replies
611 Views
Ukipita kariakoo mitaa mingi majenereta yanawaka umeme mchana haupo usiku wakishafunga maduka ndio unarejea kama sio mchezo huu ni nini Kariakoo ni moja ya sehem ambayo inayochangia kodi ya Taifa...
0 Reactions
0 Replies
210 Views
Mwalimu huyu wa Shule ya Msingi Mungu Maji aangalizwe, ananyanyasa Wanafunzi Shule ya Msingi Mungu Maji iliyopo Tarafa ya Mungu Maji, Kata Unyamikumbi, Wilaya ya Singida Mjini, kuna changamoto...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Biashara ya kuuza mwili ni moja ya biashara ambayo inapigwa vita na Jamii ikiwemo Mamlaka mbalimbali lakini pamoja na hivyo imeendelea kufanyika kwa njia tofauti maeneo mbalimbali Nchini. Jijini...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Katika mizunguko yangu, nilipita katika eneo la Kigamboni, Kata ya Vijibweni, Mtaa wa Mkwajuni ambapo nilikutana na shimo kubwa lililozungukwa na makazi ya watu, eneo hilo ambalo limejaa takataka...
1 Reactions
17 Replies
751 Views
Machinjio ya Manispaa ya Morogoro unaweza kuhisi ni sehemu iliyotelekezwa, uchakavu, uchafu na harufu mbaya Harufu ya machinjio iliyopo katika Manispaa ya Morogoro imekuwa kero kwa wakazi...
0 Reactions
1 Replies
370 Views
Waandaji wa Rock City Marathon Mwaka jana 2023 walitangaza kuandaa mbio za Rocky City Marathon na kuanza kukusanya ada za ushiriki ambao zilitakiwa kufanyika tarehe 2 November 2023. Baadaye...
0 Reactions
6 Replies
307 Views
Hivi karibuni fundi ujenzi ameanguka ndani ya EACLC, Wachina wagoma kumpatia huduma ya kwanza akataliwa na mabosi zake wa kampuni za Kichina, afariki akiwa njiani kuelekea hospitalini mwili wake...
4 Reactions
8 Replies
536 Views
Back
Top Bottom