Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Chuo cha SAUT kina wakufunzi baadhi wananyanyasa sana wanafunzi, wanawafelisha makusudi na bado hata wanafunzi wakirudia mitihani hawawajazii kwa kudai wao wako busy hawawezi kushughulikia...
4 Reactions
8 Replies
404 Views
Tunaomba wahusika wafuatilie kuhusu vitendo vinavyofanywa na hawa watu wa ushirika kwenye malipo ya korosho huku Mtwara na Lindi. Umefanyika mnada wa kwanza wa korosho wiki 4 zilizopita na bei...
0 Reactions
2 Replies
257 Views
Baraza Liliendesha mthiani ya uandikishaji na leseni ya UUGUZI NA UKUNGA kwa NGAZI ya Cheti, Diploma na Degree ya kwanza tarehe 23 august/2024 lakini mpaka muda huu ni zaidi ya MIEZI miwili na...
1 Reactions
0 Replies
228 Views
Zoezi la kujiandikisha limeishia Sasa ni mwendo wa kuhakiki taarifa zako kama ziko sawa. Leo ndugu zangu nimekuja na jambo hili kutoka Kwa hawa watumishi wa Dampo kuu Jiji la Mbeya lililopo kata...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu! Kuna hii taarifa ya hawa watoto wa Shule kufukuzwa huko Tabora, kuna namna sauti inatakiwa kupazwa kutokana na adhabu kubwa waliyopewa ukilinganisha na umri wao, walikuwa na...
13 Reactions
318 Replies
13K Views
Bodi ya mikopo (HESLB) kwa hili mnataka kuvuka mipaka kwa kutaka kukata pesa za posho kwa intern (watarajali) doctors, nurses etc. Kwanza intern sio muajiriwa anakuwa katika mafunzo kwa njia ya...
1 Reactions
8 Replies
625 Views
Habari za wakati huu ndugu zanguni. Kama ilivyo ada na kawaida kuhabarishana habari mbali mbali zenye manufaa kwa ajili ya kuepushana na mambo yanayoonekana kutuathiri kwenye jamii na familia hii...
65 Reactions
175 Replies
7K Views
Anonymous
Wakuu salama! Kwa masikitiko makubwa na baada ya kujishauri kwa muda mrefu nimeamua hili kulileta hapa jukwaani pengine hili suala laweza patiwa ufumbuzi. Ni Hivi Kuna mtu alikuwa anamiliki...
1 Reactions
4 Replies
309 Views
Ukiwa unatokea riverside kuna daraja kubwa la mto chini ya mto utakuta kuna kundi kubwa la kina mama wanafua kupitia bomba kubwa la dawasco lililopasuka. Kupasuka bomba sio ajabu ila...
1 Reactions
9 Replies
338 Views
Hivi karibuni nimeshuhudia kitendo kikubwa sana cha unyanyasaji, udhalilishaji na ukatili aliofanyiwa Mwanamke mmoja jirani na kwangu dhidi ya mwenye nyumba wake, nikaona si vyema kulikalia kimya...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
Mamlaka ya usimamizi wa usajili wa majini TASAC katika mkoa wa Mwanza, wameendelea kwa muda sasa kufanya jambo la hatari kwa maisha ya watu na mali zao kwa kushindwa kusimamia usafiri wa Majini...
0 Reactions
1 Replies
324 Views
Kama nchi hakuna changamoto kubwa katika maisha ya vijana wetu wanaomaliza kidato cha sita katika elimu kama uchaguzi wa taaluma gani wanatamani kwenda kusomea vyuo vikuu na vyuo vya kati...
1 Reactions
2 Replies
254 Views
Wakulima wa mahindi katika kituo cha NFRA cha kununulia mahindi kilichopo kijiji cha Muze wilaya ya Sumbawanga vijijini hawajalipwa na NFRA pesa za mauzo ya mahindi kwa zaidi ya mwezi mmoja...
0 Reactions
0 Replies
161 Views
Awali ya yote napenda kuushukuru uongozi wa Jamii Forums kwa kuendelea kuruhusu kufichua maovu yanayoendelea kutendeka katika jamii zetu. Kuna ukatili wa watoto (wanafunzi unaoendelea katika...
9 Reactions
87 Replies
5K Views
Wakala wa Hifadhi ya Chakula ya Taifa, yaani NFRA ni Taasisi iliyoanzishwa mahsusi kuhakikisha kuna kuwepo na Hifadhi ya Mazao ya Chakula muda wote Nchini. Hununua mazao ya Chakula, kuyahifadhi...
2 Reactions
3 Replies
359 Views
Hii tetesi itazaa taharuki kubwa sana, kwa vyanzo vya uhakika vitakapo sema ndio itakuwa taarifa rasmi. Iko hivi 👇 Ndizi Mbichi zikiwasili DSM zikiwa mikononi mwa wawekezaji wa biashara hio...
20 Reactions
126 Replies
5K Views
Assalam Aleikum, Nimekuja Festival toka ijumaa jioni sasa leo kwenye moja-mbili nimeopoa binti Afisa Burudani II nikajiburudishe ila Kondom adimu pharmacy hata maduka madogo ya mitaani (kuanzia...
12 Reactions
51 Replies
2K Views
Maeneo mengi ya Tanzania mfano Dar es Salaam na Pwani kumekuwa na ongezeko kubwa sana la wahamiaji haramu hasa watu kutoka nchi ya Malawi ambapo wameathiri sana ajira na vibarua kwa wazawa. Mfano...
1 Reactions
9 Replies
397 Views
Kwanini katika zoezi linaloendelea hivi sasa nchini la kuandikisha wapiga kura, watumishi wanaofanya kazi hiyo kulipwa kiasi Cha pesa tofauti tofauti katika majimbo ya uchaguzi nchini wakati kazi...
1 Reactions
0 Replies
171 Views
Habari ndugu zangu, napenda kwanza kuwajulisha kuhusu nyaya feki, na pili kuzijulisha mamlaka husika zichukue hatua kwani jamii inaumia. Waya hizo ni za twin ambazo 1.5mm na 2.5 mm hazijai vipimo...
1 Reactions
1 Replies
170 Views
Back
Top Bottom