Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Habari ndugu zangu Wana JamiiForums, ninaomba kusaidiwa suala hili 1) Hivi Sheria za nchi zinaruhusu mfungwa kuendelea na wadhifa wake kazini au ni huku Kwetu Iramba tu? Ninaleta mada hii kutoka...
3 Reactions
15 Replies
565 Views
TEMESA Pangani hawa-scan tiketi, askari anazikusanya tu! Kuna harufu ya upigaji! Nilipita asubuhi nilivyorudi jioni ticket niliyopewa ilikuwa inaonyesha imekatwa saa moja asubuhi! kuna mazingira...
4 Reactions
11 Replies
260 Views
Habari wanabodi Hapo awali treni ya SGR Morogoro - Dar inayochukua abiria takribani 900 ilikuwa inajaa siku 1 au 2 kabla ya safari. Ukiingia mtandaoni hupati tiketi. Utafiti wangu nilioufanya...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Rais Samia, kuwa makini na watumishi wa SGR, mfumo unagoma kukata ticket. Process ya kukata ticket, inaenda mpaka unafikia hatua ya kuchagua seat, ukishachagua seat unapotaka kuelekea mbele kwa...
2 Reactions
6 Replies
512 Views
Wapendwa habarini.Mimi ni Mtumishi wa Umma nipo Dodoma.Nina nyumba yangu nimeijenga Boko. Nilimaliza kuijenga Mei mwaka huu na Juni nikapata Mpangaji(Mme na Mkewe). Nilishukuru maana Mpangaji...
31 Reactions
166 Replies
6K Views
Natuma kwa niaba ya ndugu yangu Mimi mkazi wa Ponde kata ya Toangoma wilaya ya Temeke, naomba kutoa malalamiko kwa viongozi wetu kuna Bilionea muhindi anaitwa KURBAN AHMED KHAKI, anatunyang’anya...
5 Reactions
20 Replies
907 Views
Hivi karibuni kumekuwa na usaili wa ajira mbalimbali ambao umefanyika na unaendela kufanyika Pemba na Zanzibar. Kwa upande wa ajira za Ualimu kwa mfano Ilitoka list ya walioitwa Interview ya...
0 Reactions
2 Replies
168 Views
Niliamua kutembelea waifu kwa wiki kama 2 Dodoma nimegundua kitu fulani cha ajabu sana kwenye maegesho ya magari Dodoma. 1. ukiegesha gari, mtu anakuja kuscan namba ya gari, hata dakika chache...
4 Reactions
14 Replies
396 Views
Shule ya Sekondari Mwalimu Nyerere iko mkoa wa Shinyanga halmashauri ya Msalala na matokeo ya kidato cha tano & sita wasichana (PCM na PCB tu) wastani wao wa kufaulisha unakaribiana sana na...
0 Reactions
4 Replies
227 Views
Anonymous
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kilimanjaro Christian Medical University College(KCMUCo), naiomba tume ya vyuo vikuu Tanzania(TCU) iwe inafanya ukaguzi kwenye vyuo kujiridhisha kama utaratibu...
0 Reactions
2 Replies
174 Views
Kati ya mambo yanastaajabisha nchi hii ni viongozi kuendekeza mambo yasikuwa na tija kwa wananchi na jamii, Serikali imeshindwa kujenga jengo la Ofisi ya Mwalimu Mkuu na Waalimu katika Shule ya...
0 Reactions
1 Replies
522 Views
Anonymous
Natoa angalizo kuhusu kikokotoo kati 35% na 40% Kuna uwezekano mkubwa wastaafu wanaliwa vichwa: Mwajili (HR) anakupigia mahesabu ya kikokotoo cha 40%, kule PSSSF wanakupa staili ya 35% Huu mfuko...
0 Reactions
0 Replies
153 Views
Anonymous
Wakati baadhi ya Halmashauri zikitenda haki kwa watumishi na kufuata miongozo ya TAMISEMI katika zoezi, tumebaini kuna baadhi ya Halmashauri kazi ya upigaji na kujitajirisha watu wachache kwa...
0 Reactions
0 Replies
197 Views
Kwa muda wa miaka 10 niliokuwa kwenye sekta ya ujenzi, nimegundua kuwa kuna watu wengi hawana sifa za kitaaluma wana vyeti vya kufoji vya ndani na nje ya nchi. Kwa kuwa bodi za kitaaluma (ERB na...
0 Reactions
3 Replies
390 Views
Walimu hamuwalipi, wakidai haki zao mnawafukuza, watoto wanakaa mpaka miezi 2 bila mwalimu, mnakusanya ada pesa mnapeleka kwenye makesi ya kung'ang'ania umiliki wa shule. Kila siku mnawadanganya...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Kwa miaka 3 sasa shule za wazazi-CCM zimekuwa zikifanya mitihani ya kitaifa. Zoezi hili limekuwa na ufanisi na limezirudisha shule za CCM kwenye ufaulu mzuri. Hata hivyo kuondoka kwa Katibu Mkuu...
0 Reactions
0 Replies
166 Views
Utangulizi: Kituo cha Hosiana mission dispensary kinapatikana katika Manispaa ya Tabora. Kituo hiki cha afya kimekuwa ni kimbilio kwa watu wenye matatizo mbalimbali ndani na nje ya manispaa ya...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Anonymous
Wakazi wa Kipunguni kata ya Kipawa walifanyiwa tathmini 2022 ili kupisha upanuzi wa Uwaja wa Ndege wa JKIAP na zoezi kwenda vizuri lakini fidia zao zimekuwa kizingumkuti toka 2022, na Waziri wa...
1 Reactions
6 Replies
666 Views
Msumi ni Kilometer chache sana kutoka stendi ya mabasi ya Magufuli. Sasa cha ajabu ni kwamba Msumi ipo kama vile hata wakuu wa Mikoa waliopita hapo Dar na wasasa si ajabu hawajui iko upande gani...
27 Reactions
191 Replies
10K Views
YAH: MALALAMIKO JUU YA TAASISI ZA MIKOPO MTANDAONI Kama mnavyojua changamoto zipo kwa Kila mtu hasa upatikanaji wa fedha pale unapokuwa umepata shida ya ghafla yenye uhitaji wa pesa au changamoto...
8 Reactions
91 Replies
19K Views
Back
Top Bottom