Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Dear Mama Samia, Pole na majukumu ya kulitumikia taifa letu. Kwa heshima na taadhima, naomba kukufikishia kilio cha askari kadhaa wa Jeshi la Polisi ambao wamehamishwa hivi karibuni lakini bila...
1 Reactions
15 Replies
756 Views
Kwa masikitiko makubwa ni fedhea kwa kampuni inayojishughulisha na uuzaji wa Virutubisho (Supplements) na bidhaa za usafi kama NeoLife kushindwa kuhifadhi Tarifa binafsi za wateja wake kama...
1 Reactions
3 Replies
433 Views
Hali ni mbaya sana kwetu Askari Polisi tunaokaa kwenye nyumba za kesho hapa maeneo ya kituoni. OCD karuhusu magari ya maji taka yamwage kinyesi kwenye makazi ya Askari. Simu yangu ina tatizo la...
12 Reactions
54 Replies
3K Views
Habari zenu wanajukwaa. Nimatumaini yangu kwamba mmeamka salama salmin. Moja kwa moja kwenye mada ni kwamba lipo sakata linalofanana na la binti wa Yombo ambapo limetokea wilayani Kilindi mkoani...
14 Reactions
87 Replies
4K Views
Ni suala la kawaida Kwa mataifa mengi , na huo ndio Ushirikiano , Raia wa Nchi A anafanya kosa, anakimbilia Nchi B, basi negotiations zinafanyika, Huko huko Nchi B anakamatwa na kurudishwa Nchi...
15 Reactions
146 Replies
3K Views
Uongozi wa Halmashauri ya Uyui mkoani Tabora haijawapandisha madaraja watumishi wote waliodhulumiwa madaraja miaka ya nyuma. Kuna wafanyakazi wameajiriwa Toka 2006 lakini wanalingana mishahara na...
0 Reactions
0 Replies
110 Views
Anonymous
Mpango mkakati wa viongozi wa Chama cha mawakala wa Bima Tanzania(IAAT) kubakia madarakani baada ya muda wao kupita maradufu. Uchaguzi wa viongozi wa chama cha mawakalla wa bima Tanzania (IAAT)...
0 Reactions
0 Replies
118 Views
Ni mwaka sasa tangu kivuko Cha waenda kwa mguu kifutike eneo na msamvu stand ya Dodoma, madereva wa barabara kubwa kama hii wanatumia uzoefu kusimama kuwa hapa Kuna kivuko. Mamlaka zipo na zimekaa...
2 Reactions
27 Replies
722 Views
Anonymous
Mimi ni mtoto wa mmoja wa Wazee Wastaafu wa Kiwanda cha Maturubai (CANVAS) mkoani Morogoro ambao wamekuwa wakidai fidia zao kwa zaidi ya miaka 25 sasa bila mafanikio yoyote huku ikisemekana kwamba...
2 Reactions
6 Replies
749 Views
Kutoka kwenye mtandao wa X, Akaunti ya Lisa Ildephonce (@LIldephoce) “Tarehe 23/1/2023 Tulipata msiba wa dada angu alifariki katika mazingira ya kutatanisha aliolewa na kijana anaitwa Josephat...
8 Reactions
109 Replies
5K Views
Anonymous
Habari za kazi, tunaomba utupazie sauti tuweze kufahamu sheria pamoja na utaratibu wa sekretarieti ya ajira utumishi katika mchakato wa usahili Hivi karibuni 1/09/2024 zilitangazwa ajira za kada...
0 Reactions
0 Replies
265 Views
Jana asubuhi niliweka vocha za Tsh.15,000. Tsh 5000 nikaunga MB na kiasi kilichobaki nikakiacha nije niunge Salio maana nilikuwa bado na kifurushi. Baada ya muda nakuta kwenye ile 10000 Kuna...
3 Reactions
6 Replies
449 Views
Habari wakuu! Jana nilibahatika kupita mitaa ya hapa Singida Mjini kuna sehemu wanaita Kirima, yaani hapo nilikuta malaya wamejipanga wakiwa wamevaa hovyo wengine chupi, boksa, in short yaani ni...
29 Reactions
241 Replies
25K Views
Anonymous
Leo tumeshuhudia miaka 60 ya jeshi letu, tumefurahi, tumekunywa na tumekula. Hongereni sana. Changamoto yangu katika jeshi letu limewasahau wazee wetu waliopigana vita vya Kagera pasipo kuwapa...
0 Reactions
1 Replies
266 Views
Anonymous
Wanabodi Nina jambo nimepenyezewa na mdau wa Wizara ya Uvuvi kuhusu mchakato wa mabadiliko ya Sheria ya Uvuvi hasa ufugaji wa samaki au viumbe wa majini. Unaambiwa Waheshimiwa wa hiyo Wizara...
1 Reactions
1 Replies
155 Views
Mimi nilifanya mafunzo ya internship nikiwa kama daktari katika hospitali ya Lugalo kuanzia Nov 2021 mpaka Nov 2022. Hospital ina utaratibu wa kulipa call allowances kwa madaktari na nurses...
3 Reactions
15 Replies
763 Views
TANESCO wilaya ya Tarime wamekuwa siyo waadilifu kutekeleza majukumu yao, inashangaza wateja wanalipia toka mwezi wa pili mwaka 2024 mpaka mwezi huu wa nane hawajaunganishiwa umeme! Ukienda...
0 Reactions
6 Replies
352 Views
Kumekuwepo na malalamiko makubwa kuhusu uwekezaji uliofanyika katika soko la CCM Katoro Geita, Wapangaji waliolipia vyumba katika soko hilo mwekezaji alidai kwamba wanalipia kwa kununua saiti...
0 Reactions
1 Replies
329 Views
Kumekuwa na vitendo vya ufisadi unaofanywa na baadhi ya watumishi wa manispaa ya Ubungo kitengo cha wakusanya ushuru pale stendi ya mabasi Magufuli. Wakusanya ushuru Hawa kwa kushirikiana na...
1 Reactions
2 Replies
236 Views
Wakuu, Mtu analipia basi luxury kupata huduma extra, nzuri na bora, asafiri akiwa anajisikia huru. Inakuaje unalipia kusafiri basi luxury halafu unakutana na choo kama hiki? Choo hiki ni kwa...
5 Reactions
25 Replies
5K Views
Back
Top Bottom