Kuna mgogoro wa ardhi, mtaa wa Majengo mapya - jeshini, kitongoji cha Itumbi, kata ya matundasi, wilayani Chunya.
Mwenyekiti wa kitongoji anaamrisha wakazi wa eneo hilo kuhama eneo hilo ifikapo...
Naripoti kutoka Shule ya msingi Upendo Mbezi Louis, kuwa uongozi wa Mwalimu Mkuu wa shule hiyo pamoja na msaidizi wake namba 2 ni wa ki maslahi binafsi na usio wa ushirikishwaji kwa Walimu...
Kama ukipata nafasi kutembelea wodi za wazazi pale Meta Mbeya utakuta kuna baridi kali katika wodi za wazazi.
Lakin jambo la kushangaza ukienda kwenye vyumba vya manesi unakuta kuna heater za...
Habari ya za majukumu wakuu, mwaka jana Jeshi la uhamiaji Tanzania waliitisha mkutano katika kijiji cha Vuo wilayani Mkinga ili kuelezea wananchi wa kijiji hicho juu ya adhma yao ya kuongeza eneo...
Kuna mchezo siku hizi unachezwa nafikiri ni makusudi na wafanyakqzi wa TRC ili kutengeneza mianya ya rushwa.
Sasa hivi TRC wameweka utaratibu mzuri sana wa kukata ticket kwa njia ya mtandao, ki...
Kumekuwa na kero Halimashauri ya jiji la Ilala kitengo cha Ardhi kinachosababiswa na huyu mtumishi mmoja
Huyu mtu amekuwa akitumika kwa maksudi kuminya haki za Wananchi kupata Hatimiliki...
Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Utangulizi
Mimi ni raia wa Tanzania, Mkristo kwa imani. Lakini nasikitishwa na kile kinachoendelea katika huduma ya Nabii wa Uongo...
Huku kwetu Pugu - Kinyamwezi tuna changamoto ya kikundi cha Watu ambao wamekuwa wakifanya matukio ya utapeli wa ardhi kwa muda mrefu, hawaogopi Serikali wala Vyombo vya Usalama.
Wamekuwa...
Vitendo vya utapeli vinavyofanywa na kampuni ya KMM LAND USE CONSULTING CO.LTD, yenye namba ya usajili 0359-T0218, iliyo na ofisi Sinza - Dar es Salaam. Kampuni hii ilipewa kibali cha upimaji...
Chuo cha kampala kinadahili wanafunzi wengi kuliko capacity yake. Kwa mfano sisi mwaka wa kwanza ilitakiwa wachukue wanafunzi 150 tu lakini walichukua watu Mia tatu na kitu
Pili hakina walimu wa...
Meneja wa Tarura mkoa wa Mwanza na mhasibu wake wamekuwa watu wa ovyo kwenye majukumu yao.
Hawa watu wawili wanaifanya Tarura Mwanza iwe sehemu ya hovyo sana kwa sababu wana madudu mengi...
Wakati ongezeko la nyumba za ibada maarufu 'Makanisa ya Kisasa' likizidi kushika kasi Nchini Tanzania, kuna baadhi ya makanisa hayo yanatumia shuhuda za uongo (feki/za mchongo), kujizolea maelfu...
Halmashauri ya Kibaha Mjini imeanzisha oparesheni kamata kamata na kufunga biashara tangu wiki iliyopita.
Wanafika kwenye sehemu za biashara wakikuta unadaiwa kiasi chochote kile wanakutoa kwenye...
WIZARA YA UTUMISHI WA UMMA INVYOWADHARAU WATUMISHI WA UMMA
1. Wizara ya Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa UMMA nna Utawala Bora ilitoa waraka au tuseme kibali cha upandishaji madaraja kwa...
Wadau mwenye uelewa wa sheria za nactvet. Hivi ni lazima kwa wanafunzi wa certificate na diploma kulipa ada ya mahafali ndio wafanye mitihani.
Baadhi ya wanafunzi wamezuiliwa kufanya mitihani yao...
Hawa mawakala wanaoingia mkataba na Halmashauri za Wilaya kukusanya mapato wanawapunja sana hizi Halmashauri na Halmashauri zinatakiwa zijitathmini sana.
Nitoe mfano ulio hai hapa Mwanza...
Kumekuwa na hali ya sintofahamu inayoendelea Kwa wakazi wa Kigamboni na Maeneo jirani ya kijichi, mbagala kuu na Mikwambe baada ya matukio ya kutekwa kwa watoto wadogo wa shule za msingi na...
Awali tuliambiwa kupitia tangazo la DAWASA kuwa maji yanatarajiwa kukatika Jumanne ya Julai 16, 2024 lakini jamaa wakakata huduma siku moja kabla.
Tangu wakati huo (Julai 15, 2024) mpaka muda huu...
Kuna Afisa mmoja wa LATRA Morogoro anafahamika kwa jina la Fadhili, huyu mtu ni hatari sana kwa Vijana wanaoendesha Bajaji, anatutesa sana sisi Vijana na kinachouma zaidi ni kuwa inavyoonekana...
TRA Tanzania Hiki kiwanda kipo kata ya Kalobe Mbeya mjini. Kiwanda kina waajiriwa wengi na kinauza bidhaa zake sana. Cha ajabu baadhi ya bidhaa hazilipiwi stika ya TRA. Wafanyakazi tunalipiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.