Sisi Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Sayansi ya Tiba kwa njia ya Vitendo hapa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) tunaomba Serikali au Wizara husika iajiri Wakufunzi wa...
Nina kero yangu ya muda mrefu sana, mimi ni muajiriwa lakini pia ni mfanyabiashara ambaye nimefungua duka la vinywaji kwenye Soko la KIGILAGILA lililopo Kata ya Yombo Kiwalani Wilaya ya Ilala, Dar...
Jamani kuna tatizo kwenye mabucha ya nyama hasa mitaa ya Mbezi Beach, wanajifanya wanauza nyama bei rahisi kumbe kwa kila kilo wanapunguza gram 200.
Wanaohusika tunaomba mtuokoe, sina details...
Wilaya ya Bunda Ina halmashauri kuu mbili, halmashauri ya wilaya na ile halmashauri ya mji wa Bunda. Wilaya hii Ina majimbo matatu ya uchaguzi; Bunda mjini, Mwibara na Bunda vijijni..
KISIASA...
Nyama choma ya kuku na ng'ombe zimekuwa biashara iliyoshamiri hasa katika vituo mbalimbali vya daladala hasa jijini Dodoma na Dar es Salaam yaan mtu yeyote anaweka meza njiani na ndoo ndogo...
Inawezekana hili ni jambo lisilosemwa ila ukweli huu hakuna mwenye nguvu ya kuupinga.
Nalieleza hili kwa kuwasaidia watoto wakimaskini ambao hawana watu wakuwapigania(connection), na kuinusuru...
Baadhi ya wakuu wa shule hasa zile kongwe na zinazofanya vizuri katika mitihani ya taifa ambazo ni za umma wamekuwa ni kero kubwa sana. Wamekuwa wakiwatoza fedha baadhi ya wanafunzi wanaotaka...
BENKI ya ushirika mkoani Kilimanjaro,imeanziaha uchunguzi wa tuhuma za ufisadi wa mabilioni ya fedha za benki hiyo zinamkabili kigogo mmoja ndani ya benji hiyo .
Taarifa kutoka ndani ya benki...
Hivi karibuni kumekuwa na usaili wa ajira mbalimbali ambao umefanyika na unaendela kufanyika Pemba na Zanzibar.
Kwa upande wa ajira za Ualimu kwa mfano Ilitoka list ya walioitwa Interview ya...
Wasalaam
Jana jioni nimesikia kisa cha kushangaza sana. Wakati nikiwa kwenye simu naongea na aunt, mtoto wa form one (mtoto wa aunt) alirudi analia. Kumuliza analia nini? Akajibu shuleni...
Ndugu zangu, kama umewahi kupeleka mtu yeyote mgonjwa utaniambia hiki nilichoona mimi ni sawa ama si sawa. Nilisindikiza rafiki yangu mwaka Juzi aliuguliwa mtoto mgongo wazi kufika pale ikawa...
Nikiwa nimekaaa kijiweni, jamaa mmoja anasema wazi wazi mkewe anapokea mshahara pasipo Kufanya kazi Serikali ila mpunga kila mwezi unaingia na hili anadai ni kwa watu wengi huo mtindo ndo habari...
Kama unashindwa kulipia mzigo wako hauwezi kutoka ukifika port of discharge, ina maana wanapingana na agizo la Waziri wa Fedha kuwa malipo yote tufanye kwa Tsh, na kwanini tulipe kwa dollars...
Hii ni aina mpya ya pombe ambayo kwa sasa inapatikana jijini hapa, katika baadhi ya maeneo haswa yenye mkusanyiko wa watu wengi wa hali ya chini
Aina hii ya pombe inatengenezwa hapa hapa Arusha...
Nimekatiza mitaa ya X nikakutana na taarifa ya mwana mazoezi jina simfahamu ila ni mtu maarufu kwenye mitandao ya kijamii kwa kuoneka kuwa na makalio makubwa na kufanyisha Watu mazoe ya kuongeza...
Habari wana forum, kumekuwa na complain nyingi sana namna security wa mgodi wa Geita GGM wanavyokiuka haki za msingi za wafanyakazi.
Security wamepewa mamlaka makubwa mno na maamuzi...
Kumekua na tatizo la maji kwa zaidi ya wiki sasa maeneo ya Kimara Temboni kwa Msuguri.
Taarifa zilizopo ni kuwa kumekuwa na tabia chafu ya watumishi wa DAWASA kuchepusha maji kwa nia ya kufanya...
Jiuzi nilienda ofisi ya NIDA Kinondoni huko Kawe. Kisa mtandao wao kukata nilipoenda mara ya kwanza nilipaswa kuacha makaratasi yangu ofisini kwao. Niliporudi kupigwa picha na kuchukuliwa alama za...
Habari wakuu,
Tafadhali kuna suala la kufuatilia kuhusu uwepo wa Walimu wasio wataalamu kufundisha masomo wasioyafahamu.
Tunaomba mamlaka husika zisaidie kufichua haya.
Somo la Microbiology...
Muda huu saa sita kamili mchana hapa Stendi ya Morroco (Dar es Salaam) kuna askari watatu wanakusanya hela hadharani kwa kila Daladala inayosimama kituoni.
TAKUKURU tokeni maofisini muwakamate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.